Hivi huku Arusha kuna wana JF?

Hivi huku Arusha kuna wana JF?

Last edited by a moderator:
Wapo sana tu..

La kuhusu Chuga afu usitie maguu ndani ya Uzi ! Mimba inaweza kukutoka (miscarriage)
Nway kwa vile reason nnaijua , acha nifunike jagi mtoto asieleweka Babaake nani apite !
 
Hapo unamaanisha Erickb52 .. ?? au..........
 
Last edited by a moderator:
La kuhusu Chuga afu usitie maguu ndani ya Uzi ! Mimba inaweza kukutoka (miscarriage)
Nway kwa vile reason nnaijua , acha nifunike jagi mtoto asieleweka Babaake nani apite !

Afu wewe mi nangoja tu ugeuke!
 
Karibu jamani.
Niko huku jijini Arusha lakini sina uhakika kama kuna wadau wa JF, kama kuna wadau wa JF basi wajitokeze tufahamiane na kubadilishane uzoefu.

Nawasilisha.
 
Tena ungewapelekea na zawadi ya Maharage , wangekupokeaje! Wanakula binz kama hawana akili nzuri !

nadhani angetangaza kuwa ameenda na ng'ombe ingekuwa poa, maana arusha na nyama ni kama masai na rubega
 
Back
Top Bottom