Mchague Mwenyekiti Mpya MMU 2014

Mchague Mwenyekiti Mpya MMU 2014

Status
Not open for further replies.

ladyfurahia

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Posts
14,758
Reaction score
9,592
BARUA MAALUM KWA MMU WOTE
​


S.L.P. 2014
LADIES ONLY
JF CC NA MMU
​

MODERATOR
S.L.P 000
JAMII FORUM



YAH: MWENYEKITI MPYA WA MMU 2014 NA VIONGOZI WENZAKE

Rejea kichwa cha habari hapo juu chasema;

Kwa muendelezo wa mwongozo wa KATIBA ya CC hapa jamvini. CC imeona ilete uchaguzi mpya wa kumchagua mwenyekiti mpya wa CC kwa mwaka 2014 kwani mwenyekiti aliyekuwepo muda wake wa uongozi umekwisha na hata hivyo katika uongozi wake hakukuwa maendeleo yoyote kwani alisababisha watu wapigwe BAN, wakosane, na mambo ya hapa na pale ilimradi matatizo hapa jamvini ndipo uongozi ukaamua ulete mapinduzi mapya ya kumchagua mwingine kushika nafasi hiyo ambaye ataleta mwamko hapa jamvini.

Hivyo basi jopo zima la CC lilikaa na kupendekeza majina ya wafuatao ambao watakuwa viongozi hapa jamvini kwa mwaka 2014 - 2017 nao ni:-

1 Lady doctor ni MWENYEKITI
2.
Mamndenyi ni MWENYEKITI MSAIDIZI
3.
ladyfurahia ni KATIBU
4.
Passion Lady ni KATIBU MSAIDIZI
5.
amu ni MTUNZA HAZINA
6.
charminglady ni MTUNZA HAZINA MSAIDIZI

Hao ndio viongozi wa sasa na hatutapenda mtu akate rufaa yoyote mjengoni wala kuharibu uongozi huo kwani hatua kali za kinidhamuna kisheria zitachukuliwa. Ni vyema wanajf wote mkawapa support ya kuwa pamoja nao na kuwasaidia pindi wawaombapo msaada wa hali na mali ili kuimarisha mjengo wetu.

Tunawatakia kila la kheri katika uongozi wao

“Kwa pamoja tunajenga mjengo wetu “


Wasalaamu;

 
bora mlivyonipa utunza hazina ndo sekta yangu hiyo naahidi sitowaangusha.
Afu hapa naona kama vile hawachagui umeshawachagulia
 
jopo la cc ndo kina nani hao?

hongera mtunza hazina...iko ndo kipengele kizuri kuliko vyote amu
 
Last edited by a moderator:
mkono ulitereza bestito katika kutype walishachaguliwa hao ndo wenyewe
na nilijua tu wewe unafaa sana kushika mahela ya cc hasa yale ya
kwenye party ya jf get together party ya tar 25 jan
bora mlivyonipa utunza hazina ndo sekta yangu hiyo naahidi sitowaangusha.
Afu hapa naona kama vile hawachagui umeshawachagulia
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom