Habarini za sahizi wana mmu mie nashangaa hawa watu ukianzisha siredi wanakuambia weka picha kwani mmeambiwa mie mpiga picha au shule zifungue tu jamani

kwanza kwenye nyekundu rekebisha iwe saizi na hii inasaidia anayejifunza kiswahili kuelewa na kutoharibu lugha yetu
sasa mkuu wewe unajua kuna aina ngapi za ushahidi na jee na ili habari ikamilike inatakiwa kuwa na nini
Turekebishe yale ambayo tuna uhakika nayo.kwanza kwenye nyekundu rekebisha iwe saizi na hii inasaidia anayejifunza kiswahili kuelewa na kutoharibu lugha yetu
sasa mkuu wewe unajua kuna aina ngapi za ushahidi na jee na ili habari ikamilike inatakiwa kuwa na nini
kwanza kwenye nyekundu rekebisha iwe saizi na hii inasaidia anayejifunza kiswahili kuelewa na kutoharibu lugha yetu
sasa mkuu wewe unajua kuna aina ngapi za ushahidi na jee na ili habari ikamilike inatakiwa kuwa na nini
Habarini za sahizi wana mmu mie nashangaa hawa watu ukianzisha siredi wanakuambia weka picha kwani mmeambiwa mie mpiga picha au shule zifungue tu jamani
mmh hata wewe umekosea mkuu ni "saa hizi"
Picha haina kizazi....
Weka kideo !!!!!
Turekebishe yale ambayo tuna uhakika nayo.
Ungeacha aharibu tu, sasa wewe ndo umefanya nini hapa? Saizi ni sawa na muda huu?