platozoom
JF-Expert Member
- Jan 24, 2012
- 9,548
- 11,539
Habari za siku:
Kwanza leo ni Ijumaa na kwa sasa niko salama mahali flani nikiwa na akili zangu timamu.
Nisiwachoshe ni hivi: Hivi karibuni nimepokea malalamiko kutoka kwa Wana-Chitchat kadhaa (zaidi ya 80%) kwamba Mwenyekiti wa CC ameshindwa/kuelemewa majukumu yake.
Kwamba kwanza huyu anayejiita Baba V hakuchaguliwa na kikao halali, na kubwa zaidi amesababisha ndoa kadhaa kuvunjika hapa CC. Ukiacha hilo imegundulika kuwa ana mahusiano yasiyo rasmi na Wana CC wa kike wanaokuja kuomba ushauri, na kwamba yuko 'too local'.
Hivyo basi kwa kauli moja hao wana CC wameniomba nichukue nafasi ya kuwa Mwenyekiti mpya wa CC, na kwamba kuanzia sasa nitaitwa Rais wa mpito wa CC.
Ilikuwa vigumu kuchukua jukumu hilo lakini baada ya maombi yao mazito yakiongozwa na Madame B na charminglady........nimepokea kwa unyenyekevu mkubwa majukumu hayo mazito.
*****
NB: Baba V Unatakiwa kukabidhi makabrasha yote kabla ya jogoo kuwika.
Wakatabahu.
Platozoom
Rais wa mpito Chitchat.
CC: shansarie, Preta, KOKUTONA, Heaven on Earth (a.k.a H.O.E), Lady doctor, Kaizer, Bishanga, Judgment e.t.c.

Last edited by a moderator: