Najua vitu 10 kuhusu wewe.

1-Unasoma thread hii.
2-Wewe ni binadamu.
3-Huwezi kusema "P" bila kuunganisha lips zako.
4-Umejaribu kusema "P" bilaa kuunganisha lips umeshindwa.
6-Umejicheka mwenyewe.
7-Unatasabamu.
8-Hujajua kama nimeruka namba 5.
9-Umeangalia kama namba 5 ipo.
10-Unajicheka mwenyewe sababu nimekushika.

....nimejifanya mjanja kuwa najua mpaka namba nne, but huko mbele nikakamatika kwa sababu nilishawahi tumiwa kama hii, but hii imebadilishwa....teh
 
Puddaa apud pudajabvvah shg ahare jjeheusha ...nimecheka kigiriki...umetisha mkuu umenibabamba
 
1-Unasoma thread hii.
2-Wewe ni binadamu.
3-Huwezi kusema "P" bila kuunganisha lips zako.
4-Umejaribu kusema "P" bilaa kuunganisha lips umeshindwa.
6-Umejicheka mwenyewe.
7-Unatasabamu.
8-Hujajua kama nimeruka namba 5.
9-Umeangalia kama namba 5 ipo.
10-Unajicheka mwenyewe sababu nimekushika.

na mimi nimekukamata.
1.unavyoandika hapo una mawazo kwani hujalipa kodi ya nyumba.
2.umemwomba mwenye nyumba akuvumilie kwani mwaka huu utakuwa mzuri kwani unagawanyika kwa 2.
3.ulimaliza viakiba vyako kwa sababu ya sikukuu za mwisho wa mwaka.
UONGOOOOOOOOOO.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom