Simba kucheza kombe la dunia!

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,135
17,802
Klabu kongwe hapa nchini ya Simba imefanikiwa kupata nafasi ya kushiriki katika Kombe la Klabu la Dunia mwishoni mwa mwaka huu baada ya kufanya vizuri katika makombe mawili iliyoshiriki:Klabu Bingwa Afrika na Kombe la Washindi.Taarifa hii ni kwa mujibu wa vyanzo rasmi vya FIFA.Simba inapata ngekewa sana klabu hii....Simba oyeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!
 
Unajua utani usiokaribia ukweli ni mbaya sana. Nadhani kinachofanyika pale Simba ni Kuandaa mikakati ya kuikatia rufaa Motema pembe

Latest results:
1. Simba 0-Wydadi Casablanca 3
2.
Simba 1-Daring Motema Pembe 2
 
Juma K.Juma ana ngapi ndani ya nyavu kwa hivi karibuni?
 
Back
Top Bottom