JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Am so stressed...any body to tok to me plzzz
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Kulikua na mkaka na mdada, walionana, wakapendana, wakaowana, walipozaa wakafa stori yao ikaishia apo. Lete yako ambayo iko short na inaelimisha kama io :coffee:
1 Reactions
10 Replies
4K Views
Kama una suala lolote kuhusu wakurya hasa mapenzi, na maisha mengine kwa ujumla uliza ujibiwe hapa. cc DEMBA.
1 Reactions
90 Replies
17K Views
It's my hope that you are all okey, just to inform you that we w'l be 2gether as i step pace by pace into jf sections as a new member......! "pslam 27:1-3" all the best to all jf members.
5 Reactions
67 Replies
4K Views
Our Phones = WIRELESS Our cooking = FIRELESS Our Cars = KEYLESS Our Food = NEUTRITIONLESS Our Tires = TUBELESS Our Dresses = SLEEVELESS Our Youths = JOBLESS Our Leaders =...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Hii teknolojia ya digital inanitesa. Nimejikuta nina passwords nyingi ambazo nashindwa kuzikumbuka kichwani zote. Nikiangalia kwenye miongozo ya IT wanataja baadhi ya sifa za password nzuri ni 1...
4 Reactions
66 Replies
5K Views
hapo zamani moyo na ndevu walikuwa marafiki wakubwa, ikatokea cku moja ugomvi mkubwa baina yao, Moyo akampa kichapo ndevu na kukimbia; lahaulaaaa moyo akamkuta binadam anapiga mihayo akazama...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
hapo zamani moyo na ndevu walikuwa marafiki wakubwa, ikatokea cku moja ugomvi mkubwa baina yao, Moyo akampa kichapo ndevu na kukimbia; lahaulaaaa moyo akamkuta binadam anapiga mihayo akazama...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
..........
0 Reactions
0 Replies
778 Views
................
0 Reactions
0 Replies
911 Views
Jamaa kaingia nyumbani kwa mchungaji akionekana ana majonzi makubwa; MCHUNGAJI: Vipi ndugu yangu? JAMAA: Familia yangu ina njaa, nimemuibia mtu mbuzi yuko hapo nje, najisikia vibaya naomba...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ni Hospitali ya kanisa katoliki iliyopo mkoa wa Dar es salaam kata ya Ukonga, kitongoji cha mwembe madafu. Namna inavyoendeshwa sasa ni kinyume na taratibu za Kanisa na waanzilishi. Mpaka sasa...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Leo na kesho nipo kwa ajiri ya kutoa like tu kwa members yoyote, andika chochote hapa upate like ili uongeze idadi ya likes received huku mm nikiongeza likes given. karibuni sana
0 Reactions
0 Replies
731 Views
kwa wale mnaoshinda internet kutafuta magari.hatimaye tradecar view ipo karibu yako katika mji wa chitchat.ni kwa ushirikiano wa tajiri la kiarusha Erickb52 na Arushaone na Bishanga .SUPORT YOUR...
1 Reactions
27 Replies
2K Views
Jamaa Mmoja alimtembelea mama mkwe wake,akiwa ameketi nje barazani akamwona mama mkwe anamfukuza kuku,na mama mkwe aliporud mazungumzo yao yakawa ivi: jamaa-Msimuweke Mchuzi Mumkaange tu...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
ILE REMIX YA NGOLOLO ILIYOFANYIKA NIGERIA ILIYOKUWA INASUBIRIWA KWA HAMU HII HAPA ISIKIE WA KWANZA.... Kwanza mapenzi SAFARI, ujana ni CASTLE ya moto, nilikunywaga zamani! Mmmh! Pili 2metoka...
6 Reactions
18 Replies
7K Views
Hili lina athari katika mahusiano?
0 Reactions
69 Replies
5K Views
mesimuliwa kuwa wakati fulani Jibril (as) alimuendea Nabii Suleimani (as) akimletea bakuli lenye maji ya uhai na akamwambia: Mola wako amekupa chaguo ambalo ukilichagua, unaweza kunywa maji haya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jinsia yangu ni ya kiume,umri wangu ni miaka 30,single,naomba mnipokee vizuri hapa. Salve africa
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Naombeni kufahamishwa tu sababu ugeni so dhambi, hivi jukwaa hili natakiwa niwepo kwa madhumuni gani?
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Back
Top Bottom