sikukuu 14: 3-5 basi ikawa watu wa muungano wa nchi zile mbili walipokutana katika kutaniko kuu ndipo akainuka Mkuu wa ule Muungano, mwana wa Mrisho kutoka kabila la watu wa Mashariki, tena...
Hakuna Mtu mwenye Ndugu wengi
kama Konda!
Utasikia: "HAYA DADA HAPO MBELE,
MJOMBA KULE MWISHO. MA'MDOGO
UNAENDA? NGOJA ASHUKE BIBI.
HAYA SHEMEJI UMEIKUTA YA
KUWAHI. Babu njoo ukae! Baba'angu...
Leo mwenzenu nilikuwa naangalia maadhimisho ya miaka 50 ya mapinduzi hukooooo,,,, si wakaletwa wale Wang'oa kucha na meno lakini wakawatambulisha kama makomandooo.. mh kazi IPO hapa
HEBU SOMA HIKI KIMEMO CHA BABA ALIVYOWEKA SHERIA MPYA KWAKE BAADA YA HALI YA MAISHA KUWA NGUMU:-
HOME INTERNAL MEMO
FROM: FATHER
TO: ALL DEPENDANTS AND RELATIVES
... CC: MOTHER
DATE: TODAY...
Hebu tufundishane kilugha,salam na mengineyo.
Taja neno lolote unalojua kwa lugha za kikabila na utafsiri maana yake!
Kiarusha!
Takwenya (habari za uzima/za sahizi)
unaitikia.
Iko'o (salama)...
MWALIMU: Tunga sentensi kwa kutumia neno SUKARI....
MWANAFUNZI: Jana nilikunywa chai na chapati...
MWALIMU: Sasa hapo kwenye hiyo sentensi neno SUKARI liko wapi???
MWANAFUNZI: Sukari iko...
Wana CC.. Ningefurahi saana kupata kampani ya kuchati hasa kwa wale amboa wametelekezwa na Wapenzi wao kama nilivyotelekezwa Mimi... Plz aliye Lonely...
siamini kama nipo huru tena!
Kilikua kipindi kigumu sana
huko tulikua tuna kunywa gongo tu
nimemuona mfungwa mpya mageti sita kule naye anajifunza taratibu!
Usiombe yakukute!
Huu utaratibu umekuwa kawaida tanzania Siku kuu(Holiday) ikitokea Mwisho wa juma (weekend),mara nyingi itafidiwa katika siku ya kazi na mara nyingi holiday za jumapili!Je wadau ni sahihi?mbona...
Leo 13 January nakumbuka siku yangu ya kuzaliwa.
Moyo wangu umejaa shukrani nyingi kwa Mungu wangu aliyenipa mwaka mwingine katika maisha yangu.
Kila nilichonacho maishani kwangu naona kama ni...
Jamaa mmoja alikuwa anapiga chabo mida ya saa moja moja hivi dirishani mwa watu waliokuwa wanafanya mapenzi. Kaendelea kula uhondo, mara mtu akawa anapiga hodi mlango wa kile chumba. Mwanaume...
Then kamau tells his friends, "my son is a priest,when he walks into a room, everyone calls him FATHER"
kiptanui:my son is a bishop,when he walks into a room people call him"your Grace"...
habari zenu wadau!? nina imani wote mu buheri wa afya kabisa!
naomba tuchukue fursa hii kuwakumbuka ndugu na jamaa na kuwatakia heri ya mwaka mpya, 2014!
mimi Excel, kutoka ikulu magogoni...
Embu wale waliosoma Ashira girls pande za maarangu waje pande hizi natamani kupiga story za kitambo kwakweli i miss those days za mama Mfinanga hata majirani mnakaribishwa st magreth, marangu sec...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.