Candy kisses
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 297
- 211
Leo 13 January nakumbuka siku yangu ya kuzaliwa.
Moyo wangu umejaa shukrani nyingi kwa Mungu wangu aliyenipa mwaka mwingine katika maisha yangu.
Kila nilichonacho maishani kwangu naona kama ni Baraka kubwa sana Wazazi, Ndugu, Marafiki ,Elimu, Kazi,Afya njema na mengine mengine ambayo wengine hawana vyote hivi vinanipas kila sababu ya Kumshukuru sana Mungu kwamba ananizidi kinibariki na kuniongoza hata pale nisipotarajia.
Namshukuru Mungu kwa wazazi wangu ambao ni kila kitu katika maisha yangu...kwa walivyonilea Mungu zidi kuwabariki usiwapungukie.