Tufundishane na kujifunza kilugha.

Tufundishane na kujifunza kilugha.

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,419
Reaction score
18,373
Hebu tufundishane kilugha,salam na mengineyo.

Taja neno lolote unalojua kwa lugha za kikabila na utafsiri maana yake!
Kiarusha!
Takwenya (habari za uzima/za sahizi)

unaitikia.

Iko'o (salama)

*********
Kimbulu!

Laway au Saytaa!

unaitikia

Sayuu!
 
Hebu tufundishane kilugha,salam na mengineyo.

Taja neno lolote unalojua kwa lugha za kikabila na utafsiri maana yake!
Kiarusha!
Takwenya (habari za uzima/za sahizi)

unaitikia.

Iko'o (salama)

*********
Kimbulu!

Laway au Saytaa!

unaitikia

Sayuu!

Kisukuma:
Mwangaluka, wa misha kinehe - umeamkaje
Unaitikia
Mwangaluka, namisha molah doh,

Baada ya hapo ndio kazi inaanza mara ....... mwa mayu, mwa goko, mwa nene, mwa bah bah,

kiitikio

ing'washi, iseka, iminza, n.k
 
Back
Top Bottom