YEBOOOO NIMETOKAAA ILA MAPAFU YANAUMa!

YEBOOOO NIMETOKAAA ILA MAPAFU YANAUMa!

scatter

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2013
Posts
1,685
Reaction score
983
siamini kama nipo huru tena!
Kilikua kipindi kigumu sana
huko tulikua tuna kunywa gongo tu
nimemuona mfungwa mpya mageti sita kule naye anajifunza taratibu!
Usiombe yakukute!
 
div 5 hoyee
mulugo type juuu
chama cha mizigo hoyeee
Miaka 50 ya uhuru na mapinduzi ELIMU IMEPAA sasa tuna div 5 ambayo ni tanganyika tu iliopanzia haiko duniani baada ya kuona zero ni kukiuka haki za wanaojifunza
ssmu juu div 5 sasa wanajua kujiajiri kuandika thread kama huyu msome utagundua ni miongoni mwa ma div 5 wa mulugo type.
 
Karibia majukwaa yote yameingiliwa. Ishieni huku huku ole wenu mje kule jukwaa la uchumi na biashara tutawadunda na mawe.
 
Ulifanya kosa gani mkuu ili na sisi tuwe makini!Vipi sixgates alikuwa nyampara wenu nini?
 
Nilishawahi kupigwa ya wiki nzima aisee BAN we isikie tu lakini usiombe ikukute!
 
div 5 hoyee
mulugo type juuu
chama cha mizigo hoyeee
Miaka 50 ya uhuru na mapinduzi ELIMU IMEPAA sasa tuna div 5 ambayo ni tanganyika tu iliopanzia haiko duniani baada ya kuona zero ni kukiuka haki za wanaojifunza
ssmu juu div 5 sasa wanajua kujiajiri kuandika thread kama huyu msome utagundua ni miongoni mwa ma div 5 wa mulugo type.

upo labour?
Dokta amepita kuandikia dawa!
 
Ulifanya kosa gani mkuu ili na sisi tuwe makini!Vipi sixgates alikuwa nyampara wenu nini?

kule jukwa la siasa !
Hakua nyampara ila aliingizwa akiwa amefungwa kitambaa cheusi usoni wafungwa wa lumumba wakamtambua haraka
 
kule jukwa la siasa !
Hakua nyampara ila aliingizwa akiwa amefungwa kitambaa cheusi usoni wafungwa wa lumumba wakamtambua haraka

Ndugu vipi?
Mbona hausomeki?
Ulipatwa na masaibu gani?
 
div 5 hoyee
mulugo type juuu
chama cha mizigo hoyeee
miaka 50 ya uhuru na mapinduzi elimu imepaa sasa tuna div 5 ambayo ni tanganyika tu iliopanzia haiko duniani baada ya kuona zero ni kukiuka haki za wanaojifunza
ssmu juu div 5 sasa wanajua kujiajiri kuandika thread kama huyu msome utagundua ni miongoni mwa ma div 5 wa mulugo type.
sio kila kitu lazima uelewe vingine vinakuwa juu ya uelewa wako
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom