Hebu turudi shule ya msingi kidogo!!!!!

Hebu turudi shule ya msingi kidogo!!!!!

CharmingLady

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2012
Posts
18,304
Reaction score
12,999
MWALIMU: Tunga sentensi kwa kutumia neno SUKARI....

MWANAFUNZI: Jana nilikunywa chai na chapati...

MWALIMU: Sasa hapo kwenye hiyo sentensi neno SUKARI liko wapi???

MWANAFUNZI: Sukari iko ndani ya chai....

--------*******--------

MWALIMU: Tunga sentensi kwa kutumia neno TUMAINI...

MWANAFUNZI: Tumaini twa kuku ni tudonyo lakini tutamu kuliko twa mbuzi....

CHEZEIYA BIG RESULT NOW!!!!
 
Hahahahaaaa... na hawa mizigo akina Mulugo mbona tutanyooka, na Future impossible tense.
 
Kuna mmoja alisema kipaji kimeanguka juu ya mti..teh teh
 
Mie ngoja nirudi shule ya renta! Hiyo ya msingi ndy nimefaulu .
 
hahahahahahahah
tumaini twa kuku tudonyoooo
 
Back
Top Bottom