School mate

School mate

shansarie

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2013
Posts
5,690
Reaction score
3,373
Embu wale waliosoma Ashira girls pande za maarangu waje pande hizi natamani kupiga story za kitambo kwakweli i miss those days za mama Mfinanga hata majirani mnakaribishwa st magreth, marangu sec na wengine
 
Kumbe umesoma shule za "mambo safi"..!? wakija uniite aisee.. Si unajua tena Fursa..!?
 
Wangu ndo anasoma uko saiv...

mi mzeee asee nilisoma huko kitambo kidogo natafuta mates hata tukumbushiane vituko lkn naona wote humu wamesoma st kajambanani
 
Back
Top Bottom