‎'chukua elfu kumi hii ukanywe soda' sisi Watanzania jamnn! soda gani ya elfu kumi ?
swali mtu anapokupa utachukua?au anaposema soda inakua inasimamia matumizi mbalimbal iunayoweza kufanya?
Mzee Mshato ambae baba yake anaitwa Mbana alikuwa anapenda kujigamba na majina yake mbele za watu na alitaka watu wamuite kwa majina yote mawili. Sasa siku moja akakutana na mschana snea snaea...
mfano una ishi dodoma.sasa siku moja umeamka alaf ukajikuta upo bukoba tena bila nguo yoyote ila nyumba ina fensi.alafu kwambali unasikia wenye nyumba wanaamka je utaongea neno gani wakuelewe?????????
1.Baada ya kufanya kazi siku 30,unafukuzwa kazi bila mshahara.
2. Ukiwa una download kitu kwenye net inafika 99% alafu inagoma.
3. Unaingia na kibomu kwenye pepa alafu unashindwa kuelewa...
Dar es salaam listed among the top 10 most habitable cities in Africa as published by Africa.com. See the full list here.
Im so happy the so called "GIANT of Africa is not there, ain't that...
Mabestito muhali gani
sijui niseme nimewamiso
au niseme sijawamiso au
nilale mwelekeo wa :drama:
Ule msemo unaosema kuwa
UKISHIKA SHIKAMANA sasa
naona unajongea taratibu
kwangu hivyo sina jinsi...
Watu watatu walituma maombi ya kazi usalama wa taifa. Wa kwanza alikuwa kijana wa miaka 25, wa pili alikuwa na miaka 35 na wa tatu alikuwa na miaka 45. Wote wakaitwa kwenye usaili wa utiifu na...
Unajua! unapoongea maneno mengine uwe makini sana, kwni utakuja kunitaftia matatizo bure, uliyoyaongea nimeyapata na sijayapenda hata kidogo,
mimi nakuheshimu sana, tangu tumejuana sijawahi...
Pasta alikuwa anafungisha ndoa ya Mashoga sasa ukafika muda wa kuwaambia sasa mmekua mke na mume, akashindwa kuwaambia ivo coz wote ni wanaume, Badala yake ikabidi awaambie now You are Man...
1. Playing video games instead of looking for a job.
- Sure, theyre fun. But those games can sure take up a lot of valuable time spent on more important areas of life.
2. Spending money you...
Wapendwa katika Chit Chat na wana JF wote kwa ujumla.
Naomba kuchukua fursa hii kukujulisheni kuwa Heaven on Earth is officially discharged from the Hospital.
Karuhusiwa kuondoka leo asubuhi baada...
Kuna mzee mmoja alikuwa ameenda hospitali,baada ya kumuona daktari akaambiwa akapime malaria.Huko maabara akakutana na nurse ambae alimtoboa kidole ili kupata damu itakayotumika kwa ajili ya...
Leo ndugu wananchi kuna kikao huko ahera kinachohudhuriwa na Mchonga,Kenyatta na Obote.Pia wapo Amin Dadah,Sheikh Karume na wana Afrika Mashariki mashuhuri wakisubiri habari za mgeni ambaye kwa...
Welcome to Celtel Users Forum .
Celtel is connected to over 12 countries in Africa alone , and has joint services to more countries than any other Mobile Company in Africa So you are mostly...
Ndege moja aina ya Twin Otter inayochukuwa abiria 8 ilikuwa inatokea mchimbo ya Mwadui Shinyanga, ilianguka na kujichimbia makaburini kule maeneo ya Kahama kata ya Mwendakulima.
Wataalamu wa...