Na mkojo hautoki | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Na mkojo hautoki

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Che Kalizozele, Oct 3, 2008.

 1. Che Kalizozele

  Che Kalizozele JF-Expert Member

  #1
  Oct 3, 2008
  Joined: Jul 20, 2008
  Messages: 778
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Kuna mzee mmoja alikuwa ameenda hospitali,baada ya kumuona daktari akaambiwa akapime malaria.Huko maabara akakutana na nurse ambae alimtoboa kidole ili kupata damu itakayotumika kwa ajili ya vipimo.Bahati mbaya damu ikawa haitoki,ikabidi yule nurse akinyonye kidole cha babu mpaka damu ikatoka.Kumbe babu wakati kidole kinanyonwa alikuwa akisikia raha,si ndo akamwita nurse.

  Nurse.......Babu akaita.
  Abee babu......nurse akaitika

  Na mkojo hautoki.....Babu akasema
   
 2. SIMBA DUME

  SIMBA DUME Member

  #2
  Oct 3, 2008
  Joined: Jul 6, 2008
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Na omba address ya hiyo hospitali au zahanati na mimi nikatibiwe
   
 3. M

  Mage Member

  #3
  Oct 4, 2008
  Joined: Sep 2, 2008
  Messages: 42
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  haaaaaa na wewe malaria imepanda ghafla uliposikia kuna huduma ya aina hiyo huh?lol
   
 4. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #4
  Oct 4, 2008
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Hahahaha! tatizo hapo hautatoka mkojo yatakua mengine mapya kabsaaa!
   
 5. SIMBA DUME

  SIMBA DUME Member

  #5
  Oct 5, 2008
  Joined: Jul 6, 2008
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mkojo upi mwepesi au mzito usiotoka KWA MTAZAMO WANGU HUYO NESI AKITUMIA HIYO NJIA MANUAL UTATOKA MZITO
   
 6. K

  Kipanga JF-Expert Member

  #6
  Oct 6, 2008
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 679
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  ...Na huenda idadi ya wagonjwa wa kiume ikawa kubwa zaidi katika hiyo hospitali....Teh! teh!tehhhhhh!!!!
   
 7. K

  Kipanga JF-Expert Member

  #7
  Oct 6, 2008
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 679
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  ...Simba kuna mikojo ya aina ngapi mkuu????
   
 8. Calnde

  Calnde JF-Expert Member

  #8
  Oct 14, 2008
  Joined: Oct 7, 2008
  Messages: 1,373
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  MMh hii kali!!
   
 9. jesse alibalio

  jesse alibalio JF-Expert Member

  #9
  Jan 17, 2014
  Joined: May 13, 2011
  Messages: 270
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  \du hii hatari danger yake
   
Loading...