Welcome to Celtel Users Forum

Yona F. Maro

R I P
Nov 2, 2006
4,201
234
Welcome to Celtel Users Forum .

Celtel is connected to over 12 countries in Africa alone , and has joint services to more countries than any other Mobile Company in Africa So you are mostly welcome , enjoy being here , ask questions , answer questions and feel at home as you're a part of CELTEL FAMILY – WHICH MAKES YOUR LIFE BETTER .
Offers , Promotions , Services , Customer Support , Jobs , Tenders and many more . Please Use English , French ,Arabic or Swahili
Click http://groups.yahoo.com/group/Celtel/ to join

Celtel inapatikana kwa zaidi ya nchi 12 katika afrika pekee na imeungana katika huduma zingine za mawasiliano na nchi zaidi ya kampuni yoyote afrika kwahiyo unakaribishwa sana , furahia kuwa hapa , uliza maswali , jibu maswali na jisikie uko nyumbani kwa sababu wewe ni sehemu ya FAMILIA YA CELTEL – INAYOFANYA MAISHA YAKO KUWA BORA ZAIDI .
Offa , Promosheni , huduma , huduma kwa wateja , kazi , zabuni na mengi zaidi . Tafadhali tumia Kiingereza , Kifaransa ,Kiarabu au kiswahili .
Click http://groups.yahoo.com/group/Celtel/ to join

Celtel est connecté à plus de 12 pays d'Afrique seulement, et il a joint les services à un plus grand nombre de pays que tout autre en Afrique Mobile Company Donc, vous êtes les bienvenus surtout, le plaisir de me poser des questions, répondre aux questions et de se sentir à la maison, et vous faites partie CELTEL de famille - ce qui rend votre vie meilleure.
Offres, promotions, services, Soutien à la clientèle, l'emploi, les offres et beaucoup d'autres. Utilisez S'il vous plaît anglais, le français, l'arabe ou
swahili
CLICK http://groups.yahoo.com/group/Celtel/ to join
 
Nina line ya Celtel ambayo naitumia nikiwa Tanzania. Lakini nikiondoka na kurudi Ughaibuni, nikirudi baada ya muda mrefu, miezi au hata mwaka nakuta sina tena line. Sasa ni namna gani amabvyo Celtel itaweza kusaidia watu kama sisi ili tusibadili badili line kila wakati?
 
Dear Kitia

Ahsante kwa kuuliza swali lako

Wakati unaingiza salio mara ya mwisho kuna maneno yanasema muda ambako account yako itasitishwa kama usipoongeza salio au usipotumia kwa muda mrefu

Cha kufanya ni kwa wewe kuwasiliana na celtel kuona wanaweza kukusaidiaje nitakuwekea
 
Halafu hao members wa celtel wakishajiunga, kisha mtaanzisha kwa voda users pamoja na tigo au hata zantel,

Nia yake nini hapa?.

Ni kwamba inawezekana hii ni mtego kuwanasa some users wa JF kwani hili tangazo limewekwa hapa na sijaliona kwingineko so huu ni mtego usiovutia.
Tafuta other means ya kutega kwa hii ni zama ya utandawazi na utandawizi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom