Mmh hizi soda mbona kazi


A

actus

Senior Member
Joined
Oct 7, 2011
Messages
104
Likes
0
Points
0
Age
38
A

actus

Senior Member
Joined Oct 7, 2011
104 0 0
‎'chukua elfu kumi hii ukanywe soda' sisi Watanzania jamnn! soda gani ya elfu kumi ?
swali mtu anapokupa utachukua?au anaposema soda inakua inasimamia matumizi mbalimbal iunayoweza kufanya?
 
Likwanda

Likwanda

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2011
Messages
3,875
Likes
75
Points
145
Likwanda

Likwanda

JF-Expert Member
Joined Jun 16, 2011
3,875 75 145
Tutakuwa tunasema "chukua hela ukanunue gari" hapo vp?
 
mikatabafeki

mikatabafeki

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2010
Messages
12,827
Likes
2,107
Points
280
mikatabafeki

mikatabafeki

JF-Expert Member
Joined Dec 29, 2010
12,827 2,107 280
si ulimbukeni wako kani amekuomba
 
A

actus

Senior Member
Joined
Oct 7, 2011
Messages
104
Likes
0
Points
0
Age
38
A

actus

Senior Member
Joined Oct 7, 2011
104 0 0
Tutakuwa tunasema "chukua hela ukanunue gari" hapo vp?
gari ya elfu kumi?mkuu mie nadhani inabidi tuwe tunasema chukua hela then unapiga kimya.mambo ya soda yanatoka wapi?
 
Chimunguru

Chimunguru

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2009
Messages
10,093
Likes
699
Points
280
Chimunguru

Chimunguru

JF-Expert Member
Joined May 3, 2009
10,093 699 280
anawekeza huyoo si buree
 
kahtaan

kahtaan

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2009
Messages
17,073
Likes
1,977
Points
280
kahtaan

kahtaan

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2009
17,073 1,977 280
jamani soda si soda tu?
 
Jaguar

Jaguar

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2011
Messages
3,413
Likes
31
Points
145
Jaguar

Jaguar

JF-Expert Member
Joined Mar 6, 2011
3,413 31 145
Mtu anaposema chukua ya soda anamaanisha kiwango cha pesa alichokupa ni kidogo sana kwa mtazamo wake.
 
mchemsho

mchemsho

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2011
Messages
3,160
Likes
146
Points
160
mchemsho

mchemsho

JF-Expert Member
Joined Jun 8, 2011
3,160 146 160
Chukua haka ka laki2 ka vocha
 
C

CYPRIAN MKALI

Senior Member
Joined
Nov 12, 2010
Messages
152
Likes
1
Points
35
C

CYPRIAN MKALI

Senior Member
Joined Nov 12, 2010
152 1 35
akikwambia soda unaweza pata na msosi, so sio lazima akuambie vyote. pia ni njia ya kukupa fair kwani mtu akikuambia chukua ukaleutajiuliza hivianadhan sijala, sasa anakua amekukwaza kidogo.
 
Capitano

Capitano

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2011
Messages
694
Likes
426
Points
80
Capitano

Capitano

JF-Expert Member
Joined Apr 7, 2011
694 426 80
Hiyo kawaida kwa kiswahili mfano mtu anajenga hekalu Mbezi, anakuambia ,aaah najenga kakibanda kangu huko Mbezi au mtu ana Bilioni chache bank anasema ana vijisenti.
 
Bambanza jr.

Bambanza jr.

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2011
Messages
356
Likes
0
Points
0
Bambanza jr.

Bambanza jr.

JF-Expert Member
Joined Aug 6, 2011
356 0 0
Iyo ni misimu yenye lengo la kurahisisha lugha! Mfano. Ntakupa chai
 
HorsePower

HorsePower

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2008
Messages
3,614
Likes
46
Points
145
HorsePower

HorsePower

JF-Expert Member
Joined Aug 22, 2008
3,614 46 145
Nafikiri ni lugha iliyozoeleka, kumaanisha kuwa unampa mtu hela ambayo inamtosha kununua kitu kidogo chochote cha haraka .... Si soda kama soda, au watalaamu wa Kiswahili hapa JF mnasemaje?
 
Mtalingolo

Mtalingolo

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2011
Messages
2,186
Likes
17
Points
135
Age
29
Mtalingolo

Mtalingolo

JF-Expert Member
Joined Aug 4, 2011
2,186 17 135
Unachukua unaenda kununua soda then unamrudishia chenji yake.
 
U

Ulimakafu

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2011
Messages
19,459
Likes
1,304
Points
280
U

Ulimakafu

JF-Expert Member
Joined Mar 18, 2011
19,459 1,304 280
Inategemea aliyekupa ni kwa mpango upi?
 

Forum statistics

Threads 1,214,691
Members 462,829
Posts 28,520,014