sakapal
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 1,804
- 1,425
Mzee Mshato ambae baba yake anaitwa Mbana alikuwa anapenda kujigamba na majina yake mbele za watu na alitaka watu wamuite kwa majina yote mawili. Sasa siku moja akakutana na mschana snea snaea maringo kwa sana na akamjibu mbovu yule mzee na wakatukanana. Kumbe yule mzee alichukia akaamua kumkomoa yule mschana. Akamfuata mchumba wa yule mschana na kumwambia demu wako ananitaka yule jamaa akamwambia haiwezekani mschana wangu akutake mzee kama wewe. Akamwambia wewe kesho kaa upande wa pili wa Kijungu Pub & Lodge kisha uangalie hali halisi. Kisha mzee mshato akamwambia kijana wa mtaani nenda kamwite yule mschana mwenye maringo ila mwambie umetumwa na mchumba wake aje hapa Kijungu Pub & Lodge kisha wewe ukae upande wa pili wa barabara na uniite kwa nguvu sawa, kijana kakubali.
Baada ya muda yule binti akiwa pale nje ya Kijungu Pub & Lodge akaita Mzee!! Mshato Mbanaaa kwa nguvu kama mara tatu hivi yule mzee akatoka huku akimsalimia yule mschana mwenye maringo pale nje huku nae akijibu kwa nguvu ''kijana tayarii''. Daah mchumbaa ake na yule mschana kuona hivyo akaondoka na uchumba wao ukavunjika, binti akazimia loooh!! Mzee Mshato- Mbana huyu!!!.............. Balaa