Ajari ya Ndege (Shinyanga)

X-PASTER

JF-Expert Member
Feb 12, 2007
11,610
1,817
Ndege moja aina ya Twin Otter inayochukuwa abiria 8 ilikuwa inatokea mchimbo ya Mwadui Shinyanga, ilianguka na kujichimbia makaburini kule maeneo ya Kahama kata ya Mwendakulima.

Wataalamu wa jeshi la ulinzi wa kuchunguza kuanguka kwa safari za ndege walipofika hapo siku ya tatu yake, walikuta maiti zaidi ya 25 zimepangwa na wenyeji bado walikuwa wanaendelea kufukuwa.
 
did i get it right ama?ndege ya watu wa nane imeua watu 25??may be tudanganywe hao 17 wa ziada ndio crew members,na watu waliokuwa ardhini..vinginevyooo sijui niiweke habari hii katika upande gani wa ubongo wangu maana haiingii akilini kuwa hata ndege za kibongo nazo zataka mpaka waambiwe mambo ya LEVEL SEAT!!
 
Kuna makonda hata kwenye ndege, maana hawa tulionao katika daladala huwa wanahakikisha kwamba hadi wao wananusurika kutolewa nje ndipo wajue kwamba sasa abiria wanatosha, sasa je hata kwenye ndege? Hakika Tanzania hakuna sheria. Naye rubani kawaambia bananeni hivyo hivyo hadi tufike Dar???
WONDERFUL!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Kama ndege imeangukia makaburini basi jamaa walifukua maiti nyingine zilizikwa eneo hilo.... may be with hopes of finding some gold or something!
 
duh basi mmoja wa hao walaji huko juu hakawii kukurupuka na kutafuta ujiko na kuanza kusema matrafiki wawe wanhakikisha masuala ya LEVEL SEAT kwenye ndege hahaaaa!
Bubu wanasema eti sheria zimewekwa ili zivunjwe atiii
 
So sad, i dont think this was meant to be funny. Hii habari yenyewe ni inconclusive so its shocking ndugu zangu mkianza kufanya mzaha hapa, we dont really know what happened, kama kuna mwenye details zaidi atuwekee humu before we start slagging off anyone or taking the p..s.
 
mmojawapo wa mwana anga alieponea chupu chupu kwenye ajali hiyo

amehijiwa jana na inasemekana ni Co-pilot. Katika maelezo yake kasema Rubani alisahau miwani yake so alidhani anatua uwanja we ndege wa Shinyanga kumbe makaburini. Kumbe Tanzania tuna marubani vipofu... Lol
 
LOL sikujua kuwa sio lazma niingie kwenye sehemu za jokes ndipo niweze kucheka namna hiiii dohh salaaalaaaa mbavu zangu!
then aulizwe kuhusu ni vipi kulikua na watu 17 zaidi??au ndo kila abiria (8) ana wahudumu wake wawili?basi hii itakua more than a 10 star ndege
 
X lazima kutakuwa na better jokes zaidi ya hii, kuna watu wana ndugu zao huko mwadui, na wanapoona habari kama hii wanakurupuka kuifungua bila hata kuangalia iko kwenye category gani, and we all know uliyoyaandika hapa ni possible Bongo.
 
mmh,

Unajua mimi hii joke nilivyoielewa mara ya kwanza.........ni wale wachimba madini waliofukiwa kule shinyanga na lile kampuni la nanihii.

mmh.
 
Kama ndege imeangukia makaburini basi jamaa walifukua maiti nyingine zilizikwa eneo hilo.... may be with hopes of finding some gold or something!

Roy you r very intelligent ..sijui kwanini watu wanashangaa hiyo 17 inatoka wapi??/ its obviouse inatoka makaburini..au?!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom