JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
TANESCO.. Wanaolipa Bili tunawajua wapo kimyaaa!.. nyie msiojua hata bei ya chumvi kutwa kelele. Na mwaka huu mtajuta nawambia. TUNAKATAA TANESCO..Wengine mnalalamika Tanesco kukata...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
sijakutia machoni chukua ndizi moja tukatiane utamega au nikumegee? huu muwa ukatiwe au? ongezea mengine unayokumbuka
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Salaam wakuu, Kwema? Ausindile! Basi wakuu jana nimecheck hii muvi yenye title kama kichwa cha thread, aisee ni bonge la muvi. Ja rule na T-Bone nimewakubali sana katika hii movie ila kikubwa...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
jumatatu hii inaweza kuonekana ni ya kawaida kama jumatatu nyingine zozote zilizopita, lakini hii yaweza kuwa tofauti sana hasa kwa wafanyakazi watu wa kutegemea mshahara mwisho wa mwezi ni...
2 Reactions
0 Replies
856 Views
Kuna jamaa alilala juu ya mti kumbe chini ya mti ule wachawi wanakutana,walipofika wakaanza kujitambulisha mimi mchawi kutoka Sumbawanga mimi mchawi kutoka Tanga, mimi kutoka Naigeria...
2 Reactions
0 Replies
2K Views
0 Reactions
2 Replies
838 Views
jamani eeeeeh natamani kuongea na mtu sahv hasa academician
0 Reactions
9 Replies
1K Views
0 Reactions
0 Replies
486 Views
Hivi huyu jamaa aliyebuni taa ya chemli alikua anawaza nini hadi sehemu ya kuwekea utambi ikawa vile? Na kwa nini alipavimbisha namna ile? Au ukosefu wa mawazo?
0 Reactions
5 Replies
3K Views
In high school, i was very poor in maths and chem. During exams, i'd get btn 2% and 8%. The results used to be announced out from the lowest to the highest marks, so i would always be the 1st or...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Mume kaingia duka la nguo na kamnunulia my waif wake chupi dazani moja zote za rangi moja, akaenda kumzawadia. Mupenzi akashukuru lakini alipogundua kuwa zote rangi moja si akalopoka. MAI WAIF...
1 Reactions
12 Replies
4K Views
Baba na mama baada ya kurudi kazini pamoja wakakuta BARUA iko mezani SEBULENI ikisema.... "Baba na mama, ni matumaini yangu kuwa mtasoma ujumbe wangu huu kwenye karatasi niliyoiweka juu ya...
3 Reactions
20 Replies
6K Views
Habarini mabestito marafiki Natumai mko wazima na tena mko robo masaa kuupokea mwaka 2014 Imebidi niseme kwani huku kwetu mwaka tushauona kiimani hivyo Bandugu marafiki acha niwanogeshe...
1 Reactions
44 Replies
4K Views
Nakosa lugha ya kuandika hapa marafiki zangu NINACHOHITAJI KWENU MNISAMEHE KWA YOTE YALIYOTOKEA JANA SITOPENDA KUSEMA YALIYONISIBU niko na stress bado WAKO WALIOSHTUKA NA WAKO NILIOWAUDHI PIA...
7 Reactions
208 Replies
11K Views
JERO na ELFU KUMI baada ya kupoteana kwa mda mrefu JERO; Ulikuwa wapi ndugu yangu mbona huonekani? ELFU KUMI; Daah! Ndugu yangu mambo mengi, nazunguka sana kwenye ma-wallet na ma-ATM,mara...
2 Reactions
1 Replies
2K Views
Daaah! Jamani sijawahi ona haki ya nani!! Sijui ndo haki sawa ama vipi! Sielewiii!!..... Miye hapa mgeni kwenye mtaa huu hata wiki sijamaliza leo...
2 Reactions
47 Replies
3K Views
An interview with AKPOS; OFFICER:- what is your name? AKPORS:- M.P sir OFFICER:- tell me properly! AKPORS:- Michael Peter sir OFFICER:- your father's name? AKPORS:- M.P sir OFFICER:- what does...
2 Reactions
19 Replies
5K Views
Unamsikia mtu anasema ; "Nilishalipa na kulipa" Au "Nilishakula na kula" Ama "Nilishakwenda na kwenda" "Nilimpiga na kupiga" Au "Mimi kama mimi sikubaliani na hiyo bei" Na "Wewe kama...
0 Reactions
4 Replies
846 Views
Mshikaji alijikuta yuko mahakamani kwa kosa la kuiba gari. HAKIMU: Mshtakiwa unamaelezo yoyote? MSHKAJI: Mzee, hawa jamaa wamenibambikia kesi, ishu nzima ilianza nilipokuwa pale masikani kwetu...
4 Reactions
4 Replies
3K Views
Wadauwenza Chtcht . Takriban wiki na ushee , niliacha ombwe hapa mjengoni . Tr. 17 january Mola alikatisha maisha ya Mama yangu mdogo tuliyekua nae karibu sana kwa mambo mengi ya kimaisha ...
1 Reactions
127 Replies
9K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…