hahaaaa umeona post ya Mcdonaldjr?
mwe hiyo nayo ni mojawapo
Kumbe!
Nilifikiri nimewavuruga!
Haya bwana, mi niko hom leo sitoki, mwisho wa mwezi huu nawasubiri wanaonidai madeni niwabandue !
eh....mh maneno gani haya ...
eh....mh maneno gani haya ...
kweli yamepitiliza....!Hata mm nashangaa maana had yamepitiliza kipimo.
ukakasi gani huu...Yenye ukakasi