Tweets za TANESCO..Ongezea zingine

Mdudu Wa Masala

Senior Member
Feb 17, 2012
134
79
TANESCO..
Wanaolipa Bili
tunawajua wapo
kimyaaa!.. nyie
msiojua hata bei ya
chumvi kutwa
kelele. Na mwaka
huu mtajuta
nawambia.
TUNAKATAA

TANESCO..Wengine
mnalalamika
Tanesco kukata
umeme Mjini
penyewe mmekuja
juzi juzi, miaka yote
shamba kwenu
uliishije?..

MTEJA: TANESCO mmeshafanya yenu mapema sana ata nguo sijanyoosha kesho kazn niende vp??"
TANESCO..ulizaliwa na nguo?
 
Habari wana Jf
Katika pitapita zangu mitandaoni nimeziona hizi tweet za tanesco mi nimeona niwasilishe kwa great thinkers wazichambue mimi sielewi what is Tanesco and its relation to Watanzania
 

Attachments

  • 1391409224019.jpg
    1391409224019.jpg
    21.8 KB · Views: 262
Hata kama ci wao wame tweet hiyo ila hawana jipya nenda ofisi zao za kurasini ukaone watu wanavyo piga kelele na kulaumu huduma mbovu na majinu ya karaha ndo wanacho juwa mtu umelipia luku ila unakaa miezi 6 hujafungiwa upuzi kabisa
 
Back
Top Bottom