Happy Birthday bestito Jiwe Linaloishi

Happy Birthday bestito Jiwe Linaloishi

ladyfurahia

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Posts
14,758
Reaction score
9,592
Habarini mabestito marafiki

Natumai mko wazima na tena mko robo masaa kuupokea mwaka 2014
Imebidi niseme kwani huku kwetu mwaka tushauona kiimani hivyo


Bandugu marafiki acha niwanogeshe kidogo hapa ni
tarehe 01 JANUARY
sikumaalum ya kukumbukwa kwa Jiwe Linaloishi na siku special ambayo yeye
anafurahia pale alipoiona uso wa dunia hii kwa mara ya kwanza majira ya
usiku ndipo kasauti kembamba kakitoto kakalia ng'a ng'a ng'a ng'aaaaaa
Kumbe kidume kilikuwa kinatokeza duniani ktka kuwajibika na kusulubika.

Katika kumbukumbu hii ya kuzaliwa kwa Jiwe Linaloishi namtakia
kheri, afya njema, kujituma zaidi kikazi, na Mungu amlinde na kumpa
maisha marefu hadi 100 years.

Uwe na siku njema bestito nakuunganisha mabestito wote humu mjengoni
katika siku yako maalum ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwako.

pokea kazawadi kako kadogo haka hapa chini:

Mens_Cakes_Darlington_024.jpg keki tu.jpg kekit.jpg

HAPPY BIRTHDAY MY DIA

Wasalaam

Ladyf


 
Habarini mabestito marafiki

Natumai mko wazima na tena mko robo masaa kuupokea mwaka 2014
Imebidi niseme kwani huku kwetu mwaka tushauona kiimani na watakia
kheri katika kuukaribisha mwaka mpya kwa upendo na amani na tuzidi
kushirikiana katika kila jambo,

MNAMO 01 JANUARY SIKU KAMA YA LEO KITU KILITENDEKA:

Bandugu marafiki acha niwanogeshe kitu ni tarehe
01 JANUARY kama ya leo
ambayo mwenzetu rafiki yetu wa karibu hapa jf anakumbuka siku
maalum ya
kuzaliwa kwa@Jiwe Linaloishi ndo siku ambayo yeye mwenyewe alifurahia
pale alipoiona uso wa dunia hii kwa mara ya kwanza majira ya usiku ndipo
kasauti kembamba kakitoto kakalia ng'a ng'a ng'a ng'aaaaaa. Kumbe
kidume kilikuwa kinatokeza duniani ktka kuwajibika na kusulubika.

HIVYO BASI BINAFSI NAMTAKIA MAISHA MREFU KAMA YA MANDELA
NAWE JE?


Katika kumbukumbu hii ya kuzaliwa kwa Jiwe Linaloishi namtakia
kheri, afya njema, kujituma zaidi kikazi, na Mungu amlinde na kumpa
maisha marefu hadi 100 years.

Uwe na siku njema bestito nakuunganisha na mabestito wote humu mjengoni
katika siku yako maalum ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwako.

pokea kazawadi kako kadogo haka hapa chini:

attachment.php
attachment.php
attachment.php


HAPPY BIRTHDAY MY DIA

Wasalaam

Ladyf
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom