I'm in Love with A Church Girl...!!!

I'm in Love with A Church Girl...!!!

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,258
Reaction score
22,140
Salaam wakuu,
Kwema? Ausindile! Basi wakuu jana nimecheck hii muvi yenye title kama kichwa cha thread, aisee ni bonge la muvi. Ja rule na T-Bone nimewakubali sana katika hii movie ila kikubwa nmeipenda coz it pretty much reflects my current situation. Not that am unto illegal b'ness and stuffs, no ila kiukweli kuna this chick my neiba daah acheni kabisa wakuu. She is the closest thing to perfection. Smart, beautiful, kind-hearted and on top of that she is kinda religious. Well, not that much religious but she never misses church every sunday and she doesnt take alcohol. On my side, am pretty much a reciprocal of her attitude to be honest. Sasa hua namtupia tupia za hapa na pale, ila huwa anainsist inabidi nifanye sana maombi labda one day perhaps inaweza ikatokea akafanya consideration ila anasema incase that happens i gotta quit drinking, thc and also stop seeing my friends who always look like their up to no good. Balaa wakuu, nawaza hapa siku ikiwa mpango mzima daah itabdi nianze mfumo mpya wa maisha mambo ya kupinda ukosi na kuzama church kila sunday mixer ma bible lessons. daah, noma sana
 
Iko poa sana, ila mwishoni sikupenda ilivoisha, Ja rule anaigiza pastor yuko kwa madhabahu. Iweje ndani ya kipindi kifupi cha mahusiano na binti wa kilokole mara awe mchungaji, isitoshe anafundisha somo la mabadiliko, ni kama mtoto anazaliwa leo kesho jioni anaanza kutembea!!!
 
kweli mkuu ni kali, ila kweli pale walikosea. daah alinifurahisha yule pastor anaepush Larmboghini
 
Unakumbuka binti wa kilokole alipoingia kwenye mansion ya Ja rule, maswali kibao!! Mara oooh nyumba yote hii unaishi peke yako!

Ila kuna vitu nlijifunza kwenye hii muvi, huyu binti ameigiza kumpenda sana Ja rule hata baada ya kumfaham ndani nje na bado akaendeleza urafiki, jambo ambalo Kwa hali ya kawaida ni changamoto na mara ingine hizi mambo huvunja uhusiano.
 
ni,kweli kabisa mkuu ni changamoto kubwa. daah nlifurahi sana pale alipopagawa baada ya kuambiwa mjengouna vyumba 8, halafu sehemu nyingne pale wameingia kwenye duka Ja rule akamuuliza manzi kama vile viatu viko poamanzi akasema viko poa, mchizi akaagiza vile viatu im every color. sio siri mkuu pesa ina play part kubwa sana kuleta furaha kwenye mahusiano
 
Ndo maana wa nasemaga pesa ni sabuni ya roho!
Acha kbs Mkuu.
 
Salaam wakuu,
Kwema? Ausindile! Basi wakuu jana nimecheck hii muvi yenye title kama kichwa cha thread, aisee ni bonge la muvi. Ja rule na T-Bone nimewakubali sana katika hii movie ila kikubwa nmeipenda coz it pretty much reflects my current situation. Not that am unto illegal b'ness and stuffs, no ila kiukweli kuna this chick my neiba daah acheni kabisa wakuu. She is the closest thing to perfection. Smart, beautiful, kind-hearted and on top of that she is kinda religious. Well, not that much religious but she never misses church every sunday and she doesnt take alcohol. On my side, am pretty much a reciprocal of her attitude to be honest. Sasa hua namtupia tupia za hapa na pale, ila huwa anainsist inabidi nifanye sana maombi labda one day perhaps inaweza ikatokea akafanya consideration ila anasema incase that happens i gotta quit drinking, thc and also stop seeing my friends who always look like their up to no good. Balaa wakuu, nawaza hapa siku ikiwa mpango mzima daah itabdi nianze mfumo mpya wa maisha mambo ya kupinda ukosi na kuzama church kila sunday mixer ma bible lessons. daah, noma sana

ebwana Don kila kitu hapa duniani kinawezekana,
Ila siamini sana katika kubadilishwa kisa mapenzi,
it wont take long lazima binti akukubali kama ulivyo kwanza afu mabadiliko mengine ndiyo yaje taratibu,

Woman needs to be convinced, tena kama umempenda kweli nadhani nguvu ya kumshawishi itakuwa kubwa,..
Then mkuu kuishi maisha ya kwenye movies ni challenge kubwa sana.
Umempenda kweli! Mshawishi kweli.....
 
aisee best comment mkuu, so damn true. maana mi mwenyewe najua tu inside ntaremain same OG,
 
Nilipenda day one Jarule anamtoa yule demu club, then nje kampan yake ilikuwa inamsubili Jarule. Then mchizi aliposhuka garini (Jarule) akatoa bonge la intro kwa jamaa zake, nilipenda zile hugs. Jamaa anajua infact. Amenifanya nitafute muvi zake nyingine.
 
yeah ile scene ilikua kali sana mkuu
 
Back
Top Bottom