natamani kuongea na mtu sahv

natamani kuongea na mtu sahv

Sasa mbona huongei? Wenzio twaongea kupitia keyboard. Wewe unataka maongezi ya namna gani? Funguka.
 
hayo maongezi mbona hayafanyiki sasa?
 
mmh kuchat au kuongea ? haya tunakusikiliza ongea
 
Back
Top Bottom