Hivi huu mji una wana Jf kweli? Haya, if yes ntakuwepo for some days.
Sasa uko wapiii. ...ka mji kenu ka ghali haka..
sema mkuu uko sehemu gani..
mi kwa sasa niko huku likolombe
Afu dogo una kesi ya kujibu.
walikususia eeh
we ndo ulikua bize, wenzio walikuja tukakaa zetu pale florida tukala stoory.