JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Shalom humu jamvini...za masiku mingi wana cc nimewakosa(I miss u ) saaana kwa muda murefu siez wataja woote ila nadhan Mr.Rock,Arusha One Erick B52..My x Jg nawengineo...sasa ila leo nimekuja...
2 Reactions
144 Replies
10K Views
Mgeni:jamani mbona kila nikiwa nakula mbwa wenu ananiangalia mtoto:labda kwa sababu unakula kwenye sahani yake
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Ukitoka hapo lazima uwe bingwa kwelikweli
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jamaa mmoja alienda kupima UKIMWI, alipomaliza, akaambiwa arudi kesho kuchkua majibu, kabla hajaenda kuchukua majibu, akaamua kupitia kanisani, kuombewa. Wakati wa maombi, mchungaji akasema,"Roho...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Prison Life vs Full-Time Job In prison you spend the majority of your time in an 8' X 10' cell. At work you spend most of your time in a 6' X 8' cubicle. In prison you get three meals a day. At...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Baada ya kijana kupigwa na jua muda mrefu sasa amepata barafu wa moyo tulizo la moyo anayefanya nikamilike bila yeye bado mimi ni nusu I real love her Angelicious come this way mama wakuone...
3 Reactions
79 Replies
4K Views
HEBU fanya hivi wewe ni mpiga picha umebahatika kuokota milioni200 baada ya majambazi kukimbizwa na polisi na kuzidondosha.ukakimbilia kijijini kwenu na kuwapa wazazi wako milioni5 tu.zingine...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Familia moja ilivamiwa na majambaz ikawa hivi: jambaz:haya kla mtu aanaze kutaja jina lake Mke:mi naitwa fatuma Jambazi:una bahat sikuui jina la marehemu mama yangu! Mume:ata mimi kazini...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
JERO anamuuliz Elfu kumi;ulikuwa wapi ndugu yangu mbona huonekani? ELFU KUMI; Daah! Ndugu yangu mambo mengi, nazunguka sana kwenye ma-wallet na ma-ATM,mara nimeingia bar,mara casino,juzi nilikuwa...
0 Reactions
6 Replies
906 Views
jamaa1 alialikwa kwenye harusi ukumbini.akapiga pamba na kuelekea ukumbini.wakati wa vinyaji jamaa kakosa,akapotezea.ukafika pia mda wa chakula akakosa tena mala wakapitisha stick jamaa akawa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
mwalimu alikuwa anafanya revision ya histori na wanafunz wake wa darasa la tatu,akauliza"nani aliyemuua chifu mkwawa?"mwanafunzi 1 akajibu"mi sijui"wa 2 akajibu"ckuwepo kabisa"na w 3...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
cku moja mzung alikuwa anatembea na sokwe wake mara wakapitaa kitaa fulani yule sokwe akachukua ndizi gengeni yule mwenye genge akawa anataka alipwe yule mzungu akasema kwa dhalau 'huyu si ndugu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mtoto alirudi mapema kutoka shule: Baba:hee!!?Mbona umewah kurudi saiz kuna nini tena!! Mtoto:Mwalimu kanifukuza Baba:Kwanin?! Mtoto:Eti nimeshindwa kutaja KAMPALA iko wapi. Baba:Kila siku...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
>>>UALIMU KWELI WITO<<< Mwalimu aliingia darasan akawaambia wanafunzi watunge sentensi kwa kutumia neno MASIKINI,, mwanafunzi mmoja alisimama akatunga sentensi "wasichana wamevaa maskini jeans"
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wakuu za jioni, mi nina swali nmeshindwa pa kuliweka zaidi ya humu naomba msipondee bana am serious nilimpenda kwelikweli afu sijui pa kumpatia, hivi yule binti alieimba ule wimbo wa Tanzania eeh...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
HAKIMU: Kwanini umefanya ukatili namna hii? KIPOFU: Mheshimiwa marehemu alisema mwenyewe,'We kipofu ukinipiga utaona', kwa vile nilikuwa na hamu kubwa ya kuweza kuona, nikajitahidi kumpiga sana...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wana JF Hebu kutana na hii familia takatifu, Mume na Mke walikuwa wanaomba.... Husband: My wife let's close our eyes to pray... "Lord i pray for Grace, I pray for Mercy, I...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
A teacher was teaching her second grade class about the government, so for homework that one day, she told her students to ask their parents what the government is. When Little Johnny got home...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
jamaaa alikaaa nyuma ya gari na akauliza kwa sauti eti GONGOLA MBALI NA UBUNGO WAPI MBOTO, embu tupia na ww mchapio wako
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom