Inasemekana wote waliozaliwa siku kama ya leo Feb 28 eti mwisho wao march 31 haya nyie mnaosheherekea bday zenu leo mtubu dhambi zenu na kugawa urithi mapemaaa !Msijesema sijawaambia...
Kichwa cha habari cha jieleza, Kutokana na kutokuwa pamoja kwa kipindi kisichopungua mwaka miezi nane mimi na mke wangu Arabela nimeamua nimpe talaka. Kwa sasa Arabela atakuwa huru kuanzia leo...
Hi to all.
I've found this new interesting website to send free sms worldwide
http://www.smsnetwork.org/
FREE SMS with 160 chars and your mobile number as sender, 100% like sent from your phone...
"Yesterday scientists revealed that beer contains small traces of female hormones. To prove their theory, the scientists fed 100 men 12 pints of beer and observed that 100% of them gained weight...
Mtaani nimeanza kuitwa majina tofautitofauti , mara wanite Msimbe mara Mjane , Muhuni , Mchawi n.k n. k .
Nimechoka nasema I'm tired enough !
Even birds like Njiwa that mate for life , will...
Mjukuu: Babu, ushawahi kupanda ndege?
Babu: Ndio, mara nyingi tu
Mjukuu: Hivi ndege kwa ndani ipoje?
Babu: Aaah, mi nilikuwa kazi yangu kupandisha mizigo juu ya carrier. Zamani carrier zilikuwa...
Eti dogo mmja aliona katoto ka kichina kamezaliwa na mama yake wakati bado hakajakatwa hata utumbo.dogo akaenda kumwambia mama yake "mama wachina kweli wapo juu".mama akamuuliza kwanini? Dogo...
Just for fun , kwa kujifurahisha tu kdg.
Chagua herufi tatu za jina lako la
kwanza
Halafu chagua ziada yoyote mbili tu
Mfano jina langu ni Abel , tatu za
kwanza ni ABE ambayo ni Amani...
Kuna baadhi ya majina yako so common katika baadhi ya makabila. Yaani huwezi kukosa ukoo mzima kukosa jina hilo. Mfano;
Ladislaus- Wachaga
Laizer- Wamasai
Sent from my BlackBerry 9300 using...
Kuna tabia mbaya sana ya kunichafua humu JF ambayo imezuka siku si nyingi. Nimevumilia lakini leo nimefika kikomo naomba nitoe msimamo wangu.
Napenda kuwatahadharisha wale wanaonizushia kwamba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.