Umbea kwenye simu

Umbea kwenye simu

Jayspeed

Senior Member
Joined
Feb 23, 2014
Posts
156
Reaction score
169
Haya mambo bhana yanakua ya ajabu sana unakuta umepakia hice umekaa kwenye gar labda unachat unakuta mtu anatumbua mimacho kwenye simu yako anasoma sms kama si umbea ni nini
 
Haya mambo bhana yanakua ya ajabu sana unakuta umepakia hice umekaa kwenye gar labda unachat unakuta mtu anatumbua mimacho kwenye simu yako anasoma sms kama si umbea ni nini

Ndo kibongo bongo. Polee
 
Hicho ndicho kilichonifanya mimi nikapata uzoefu wa kuweza kutex msg ilhali simu iko up- side down!
 
Ukipata mtu mmbeya wa hivyo dawa yake ni moja

kama ni gal umekaa nae andika sms ya kumponda hata kama hutoituma..mf..."baby nimekaa na msichana hapa anatoa harufu kali...nimemiss marashi yako mpz"....

kama ni mwanaume mnyegeshe kwa kuandika sms ya mahaba kwa umpendae mpaka dushelele ipande apate aibu.
 
Kama ni kibabu/kibibi kitanyegekaje ? Kama hujajinyegesha mwenyewe mnyegeshaji !
 
Back
Top Bottom