Castle lite | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Castle lite

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by fabinyo, Jan 23, 2012.

 1. fabinyo

  fabinyo JF-Expert Member

  #1
  Jan 23, 2012
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 2,084
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Wadau,kwa wale ambao ni watumiaji wa vinywaji jamii ya bia,hivi ni kweli aina hiyo ya bia inapunguza nguvu za kiume?maana nimekuwa nikisikia sana,wababa watumiao hii hawawezi kazi na kila nikaapo baa,takwimu nizifanyazo,bia hiyo inanyweka haswaaaa!!!!!Najua humu JF wanywaji tupo wengi hivi sitakosa neno juu ya hili.
  Asalaamu
   
 2. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #2
  Jan 23, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 689
  Trophy Points: 280
  kwani wewe 'mbaba' wako anakunywa nini?
  Tuanzie hapo kwanza...........yani ipunguze uwezo wa kazi, halafu waendelee kunywa? labda sio 'wababa'
   
 3. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #3
  Jan 23, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Mi natumia Castle lite, nitafurahi sana kama ni kweli inapunguza nguvu za kiume niondokane na usumbufu wa kuchomeka chomeka!
  lakini nasikia Reds ndiyo inayopunguza nguvu za kiume, tatizo ni tamu na mimi siwezi kunywa!
   
 4. p

  pilu JF-Expert Member

  #4
  Jan 23, 2012
  Joined: Dec 16, 2011
  Messages: 488
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Itasaidia kupunguza ufuska katika bar! Safi!
   
 5. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #5
  Jan 23, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  job true true..
   
 6. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #6
  Jan 23, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  larger_lite_2009-09-29.jpg

  ni kweli hayo maneno cheki kwanza kilivyosimama..
   
 7. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #7
  Jan 23, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  ukiwa na mawazo hayo kweli nguvu zitapungua kimawazo ila wengine wanakunywa na goti wanayoosha kisawasawa
   
 8. NYENJENKURU

  NYENJENKURU JF-Expert Member

  #8
  Jan 23, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 1,008
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Hiyo nikutaka kuiua kibishara maana sasa hivi kuna bia hata watu hawanywi..kama chui chui...eeeh kwa hiyo ili kuua soko la Caste lite lazima upitie njia kama hizo za kiftina.Na ili uweze kumaliza kazi lazima uwataje wanaume...maana ndo wannywaji sana wa bia.
   
 9. fabinyo

  fabinyo JF-Expert Member

  #9
  Jan 23, 2012
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 2,084
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  weee,mimi mwenyewe mbaba,ila mimi natumia yule kaka yake,kesto lager
   
 10. fabinyo

  fabinyo JF-Expert Member

  #10
  Jan 23, 2012
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 2,084
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  eeh?kama ni hivyo mbona mbinu chafu sana?ila wanywaji wa hiyo wapo,watasema tu,tungoje!!
   
 11. fabinyo

  fabinyo JF-Expert Member

  #11
  Jan 23, 2012
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 2,084
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  jitahidi tu kunywa ili uweze kuchomoa chomoa,aisee nilikuwa sijui kuwa Redds nayo imo,basi tutajua na zingine nyingi tu
   
 12. ENZO

  ENZO JF-Expert Member

  #12
  Jan 23, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,057
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  POPOOOOO! anapita.
   
 13. fabinyo

  fabinyo JF-Expert Member

  #13
  Jan 23, 2012
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 2,084
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  tena ukikuta kanatoka jasho,baridiiiiiiiiiiiiiii!!!!!kanavutia kwakweli
   
 14. Kabakabana

  Kabakabana JF-Expert Member

  #14
  Jan 23, 2012
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 5,559
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  haujadanganya
   
 15. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #15
  Jan 24, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Karibuni kwa NDOVU kwa waliokumbana na matatizo ya Castle lite
   
 16. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #16
  Jan 24, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,072
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  kitu ni castle milk stout. mimi penda sana yeye.
   
 17. fabinyo

  fabinyo JF-Expert Member

  #17
  Jan 24, 2012
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 2,084
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  eeeh,sijakusoma!na wewe unajua huyu jamaa ni mchomekaji?
   
 18. fabinyo

  fabinyo JF-Expert Member

  #18
  Jan 24, 2012
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 2,084
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  hii ilinishindaga kabisa!!
   
 19. fabinyo

  fabinyo JF-Expert Member

  #19
  Jan 24, 2012
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 2,084
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  naona hata avator yako,thanks
   
 20. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #20
  Jan 24, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Nimewahi kusikia na ndovu ina fanya hivyo hivyo...!!!!
   
Loading...