Kwa wale waliokuwepo kwenye early 90's mtakubaliana na mimi kwa hiki kibao cha Dr. Dre kilikuwa moto wa kuotea mbali.
Hebu angalia video yake wakati tunajiandaa na Wikiendi ya "Mwisho Wa...
Jamani habari ya kwenu wana chitchat...
baada ya kuwaza sana kuhusu nchi yetu na mkakati wa kupunguza umaskini na kukuza uchumi, nimeona ni vyema nikaja na strategy mojawapo ya muhimu sana...
Bandugu wote wa jf napenda kuwataarifu kuwa dr.holygrail anarudi bala la giza!!
Nimekaa sana mbelez you know!! Mbebez wa huku ni super viwangoz you know!! Mara ya mwisho kuja bara la giza ilikuwa...
Kulikuwa na Chama kimoja, chama kushika hatamu
Kulikuwa na SHIHATA Shirika la Habari Tz
Kulikuwa hamna magazezi ya UDAKU.
Chakubanga alikuwa bonge ya staa
Nipashe ndio ilikuwa sehemu pekee ya...
Mtoto katoka shule huku akilia, alipofika nyumbani, baba yake alishangazwa na hali hiyo na mazungumzo yanayalikuwa hivi:
BABA: Kwa nini unalia?
MTOTO: Mwalimu amenipiga, na nimeambiwa twende wote...
habari wapendwa,
mimi naomba kuuliza, ingawa sio mgeni sana hapa lakini hiki kitu sikielewi!
hapa kuna kale kamtindo ka uchumba, kuoa na kuolewa! hivi kweli mnamaanisha au ni kamchezo tu?
maana...
Mungu anajua tulikotoka,tulipo na tuendapo...kwa maana hiyo anawajua wale waooote ambao wataurithi na wale ambao hawataurithi ufalme wake siku ya mwisho,,,wale wamchao na wasio mcha yeye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.