HUU NDIO MKUKUTA HALISI...... Bunge liendeshwe kupitia fesibuku au jamiiforums

Lucas

JF-Expert Member
Dec 3, 2011
2,457
1,108
Jamani habari ya kwenu wana chitchat...

baada ya kuwaza sana kuhusu nchi yetu na mkakati wa kupunguza umaskini na kukuza uchumi, nimeona ni vyema nikaja na strategy mojawapo ya muhimu sana kupunguza gharama

kutokana na ongezeko la teknolojia na mtandao kupatikana karibu majimbo yote nchi hii kwa sasa, je waheshimiwa wana chit chat hamuoni ni wakati sasa wa Bunge kuendeshwa kupitia fesibuku au Jf? na utaratibu na faida zikawa kama zifuatazo

1. Speaker wa bunge anakuwa ndiye mod wa jukwaa hilo maalum litakaloitwa Bunge (kw jf) au anakuwa admin kama ni fb
2. inakuwa na closed users group
3. hakuna haja ya wabunge kwenda Dodoma
4. badala ya litre 1000 za mafuta kila mwezi wanapewa bundle za internet ambazo itahifadhi karibu 90% ya pesa hiyo
5. badala ya kukopeshwa magari wapewe laptop za kisasa kabisa .... ambayo itasevu kama 96% ya fedha hiyo
6. hakuna kuwalipa perdiems
7. hakuna kuwa spotted kama wanasinzia bungeni
8. hakuna kusubiriana kuuliza maswali, kama una swali la nyongeza una-comment kwenye wall post ya waziri, na kama una swali lako jipya unam-tag waziri mhusika (fb) au unam-mention (jf)
9. kamati za bunge vinakuwa ni sub forums/ sub groups ...
10. litakuwa ni bunge la kwanza kubuni utunzaji fedha kwa style hii
11. hakuna sitting allowances
12. ni rahisi na kufanya shughuli zingine pia....

13. kama unakubaliana na hili gonga like .....


haya ongezeeni na nyie au mnaonaje ??
 
Tusinge jua mbunge wetu ni nani maana tuna fake ID, fake avata............................
 
Back
Top Bottom