Kwa mtazamo wangu hizi ndio picha za kishamba:
1. Kupiga picha umeshika soda
2. Kupiga picha ndani ya gari, malango wazi, umeshikilia steering/usukani, na unamuangalia mpiga picha.
3. Kupiga picha...
Wale madadiii na mashostito wenzangu wapenda ijumaa.
Leo Tunaanzia St. Peters njia ya msalaba, baada ya hapo woote ndani ya chawote pub kupata Juice za kutosha na makange.
Tunawatakia wengine...
Nisaidie kujibu Swali Hili! "KWA
NINI 40?"
Akizaliwa Mtoto Anatolewa Nje
Baada Ya Cku 40,
Mtu Akifa Siku Ya 40 Anafanyiwa
Ibada/Matanga. NUHU Alitengeneza
Safina kwa Muda Wa Miaka 40!
Mvua...
hii . najua utashangaa saana na yawezekana ukawa unahis nataka kukushika ugoni ila laahasha shida yangu kuubwa ni juu ya kaka angu kipenz changu MENtOR amekua mtu ambaye ana raha na ametoka umwa...
Majina yanayoanza na herufi gani ndiyo mengi zaidi kwenye simu yako? Kwa nini?
Mi kwangu ni herufi 'm' kwasababu wengine nimewasevu kama mjinga, mshenz,msela,mwendawazm,mshkaj, madame a,b,c...
A married couple is having problems so they go to counseling. They sit down with the specialist and the wife points out the numerous problems with their marriage.
After about 10 minutes, the...
Siku Ya Kwanza Kwenda Shure Nilikuwa Naangalia Kila Mtu Barabarani, Nilipofika Stendi Nikapanda Basi, Ndani Ya Basi Nikawa Nawatolea Watu Macho Mpaka Wakawa Wananiogopa, Nilipofika Shure Kila...
Mi nlitembea kwa miguu kutoka kwenye Party Masaki hadi home Sinza, sikukumbuka kuwa Masaki nlienda na gari na niliiacha huko.
Kesho yake asubuhi jamaa wakanipigia nikacgukue gari
Najua wote mko wazima na mnaendelea na shughuli/masomo/mapumziko ya weekend
na wengine kwa sasa mko hoi mnaumwa vitandanni nawaombe kwa Mungu mpone
mje kuiendeleza jf kupata furaha, upendo na...
Huwa nikikumbuka zile ndoto za utotoni kabla ya kukojoa kitandani nacheka na kuushangaa ukuu wa Mungu.
Mara unaota unacheza mpira, halafu unabanwa na mkojo, unaenda pembeni unakojoa mara hamadi...
kamwe usimwamini au kumtegemea sanaaa!! mtu yoyote hapa duniani kwasababu hata kimvuli chako mwenyewe kinakuacha pale giza linapokukuta,take care friends
Maana siku hizi imekua fashion na competition kungonoka si kwa viongozi wa dini watoto hata wakubwa wana ndoa na wasio na ndoa if uzinzi ni dhambi for real hakuna atakae pona.....TAFAKARI....
wanaojua mahali naweza nikanunua sildenafil citrate (viagra) hapa dar es salaam,naomba mnielekeze.tafadhali mnitajie bei ya tembe moja.It will be better if i also get refferals-yaani kama unaweza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.