msaada wana chit chat!

Lady.A

JF-Expert Member
Dec 13, 2013
392
191
habari wapendwa,
mimi naomba kuuliza, ingawa sio mgeni sana hapa lakini hiki kitu sikielewi!

hapa kuna kale kamtindo ka uchumba, kuoa na kuolewa! hivi kweli mnamaanisha au ni kamchezo tu?

maana watu wanafanya kama kweli! sasa mimi najiuliza ina maana hawa wote wanakuwa hawana wake/waume huko makwao? na kama ni mchezo tu wa chit chat, duuh!!
 
Kabla hujajibiwa, kwanza nambie we ni jinsia ipi. Kama ni jinsia pinzani, hebu chapchap sana kam zis wei nikukague. yote hayo utayajulia kwenye chumba cha ukaguzi.

Mabazazi niachieni huyu binadamu tafazali.
 
Ndo maana ya Chit chat jaribu uone kuwa na wako humu uone ka kweli au la
 
Ni kweli mimi mbona nimrmuoa kiukweli Arabela na sasa ana kibendi
 
Last edited by a moderator:
habari wapendwa,
mimi naomba kuuliza, ingawa sio mgeni sana hapa lakini hiki kitu sikielewi!

hapa kuna kale kamtindo ka uchumba, kuoa na kuolewa! hivi kweli mnamaanisha au ni kamchezo tu?

maana watu wanafanya kama kweli! sasa mimi najiuliza ina maana hawa wote wanakuwa hawana wake/waume huko makwao? na kama ni mchezo tu wa chit chat, duuh!!

Unatafuta mchumba ?
 
Lady.A sina hamu tena na wewe naona babu Asprin ameshatia maguu yake ngoja akukague dah babu kama mzee wa busara siye vijana unatuchezea rafu babu.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom