Mke kukimbia mume | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mke kukimbia mume

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by kadogosakado, Jun 11, 2011.

 1. kadogosakado

  kadogosakado Member

  #1
  Jun 11, 2011
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 35
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Inasikitisha mke kukimbia mume baada ya kuona kaishiwa lakini huyohuyo mume kahangika hadi alipo ni halali ushauri,maoni
   
 2. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #2
  Jun 11, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,263
  Likes Received: 21,997
  Trophy Points: 280
  kimjini mjini poa tu, ndio challenges tulizo nazo wanaume
   
 3. Meritta

  Meritta JF-Expert Member

  #3
  Jun 12, 2011
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 1,304
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  yakawaiida hayo hpa mjin
   
 4. Kaka Mpendwa

  Kaka Mpendwa JF-Expert Member

  #4
  Jun 12, 2011
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 771
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  kukimbiwa siku hizi imekuwa kawaida?
   
 5. M

  Mwambigija New Member

  #5
  Jun 12, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  No money,no honey! Ndo hali ya sasa ndugu.
   
 6. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #6
  Jun 12, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Mtu anakimbia na watoto anawaacha huko huko!!Ndo matatizo ya wanaume kuingizwa mkenge wa kuoa vitegemezi...siku ukiishiwa hunaye tena!!
   
 7. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #7
  Jun 12, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Wanawake wengi siku hizi uvumilivu 0.
   
 8. chapaa

  chapaa JF-Expert Member

  #8
  Jun 12, 2011
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 2,355
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Maisha yanakoelekea siko kabisa watu wameshachanganyikiwa!
  sio kitu ya kawaida hata siku moja,maadili yamekuwa zero.
   
 9. DZUDZUKU

  DZUDZUKU JF-Expert Member

  #9
  Mar 14, 2014
  Joined: Nov 8, 2012
  Messages: 3,468
  Likes Received: 906
  Trophy Points: 280
  Anakutia akili ili utafute zaidi sio kukaaa kaa tu.
   
Loading...