Marufuku ya tinted

Marufuku ya tinted

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,454
Reaction score
872,070
tumeambiwa tusiweke tena tinted kwende ndinga zetu mbona hatusikii ?kwani mnaficha nini ?au mnataka nani asiwaone ?au mnabeba dhambi gani ?mkuu wa kaya keshasema tinted marufuku !!!mbona hamuachi ?au kwakuwa akiongea anachekacheka ?
 
Itakuwa ngumu kueleweka aisee mana kuna watu hayo magari ndo yamekuwa vyumba.hv unajua kuna mtu hana chumba mjini analala na kuamkia kwenye gari,hayo magari cku hz yamekuwa gest bubu,kuweka gari tinted ni sawa na yule aliyeweka pazia chumbani kwake.
 
tumeambiwa tusiweke tena tinted kwende ndinga zetu mbona hatusikii ?kwani mnaficha nini ?au mnataka nani asiwaone ?au mnabeba dhambi gani ?mkuu wa kaya keshasema tinted marufuku !!!mbona hamuachi ?au kwakuwa akiongea anachekacheka ?

kuna mangapi makubwa kashindwa kuyakemea mpaka apambane na vioo vya magari na yeye bana??

nchi sasa ina kesi nzito za madawa ya kulevya, majina kasema anayo, sasa mbona hatuoni wakienda kisutu??

elimu yetu ni mbovu sana, division zero ni zaidi ya 50% ya wanafunzi wote, kafanya nini huyu rais bana??

katiba sasa haieleweki, zanzibar ndio ileee inamegeka, yeye hasemi kitu cha msingi tusikie..

waalimu wetu kila leo wanalia na mishahara, yeye anachosema ..''hata mkigoma miaka 8, kama tatizo ni laki tatu na 20, mshahara huo haupo''... imagine mchumi kutoka UDSM anasema kauli kama hiyo!!

aisee aachane na vioo, SUMATRA itashughulikia hilo tatizo!
 
mbona yapo ya kusimamia kuliko hili la tinted....?
 
Halafu pia anawafahamu majangili hatari 40 na kiongozi wao yuko Arusha imagine head of state anautangazia hivyo ulimwengu !!pity kawachukulia hatua gani sasa ???so so so sad that's why I hate politik
 
Tinted yaweza kuwa nzuri hasa ikitumiwa vizuri mfano kuzuia vibaka wasione kilichomo ndani ya gari.
 
tumeambiwa tusiweke tena tinted kwende ndinga zetu mbona hatusikii ?kwani mnaficha nini ?au mnataka nani asiwaone ?au mnabeba dhambi gani ?mkuu wa kaya keshasema tinted marufuku !!!mbona hamuachi ?au kwakuwa akiongea anachekacheka ?
kweli serekali imekosa kazi inaacha kupambana na mambo ya msingi kama kupambana na ujangili wa meno ya tembo eti raisi anafatilia tinted...hivi inaingia akilini????
 
Hivi ukiweka laptop kwenye siti ya nyuma kama huna tintend pale mlimani city wataacha gari lako salama kweli? siungi mkono hoja japo wengine wamegeuza magari guest house watajua wenyewe na Mungu wao
 
shida sio tinted au nini !!!shida iko kwenye system ...the whole system is corrupted tunahitaji overhaul kubwa sana
 
kweli serekali imekosa kazi inaacha kupambana na mambo ya msingi kama kupambana na ujangili wa meno ya tembo eti raisi anafatilia tinted...hivi inaingia akilini????
Kuna mwanamuziki wa kenya aliimba "Nchi ya kitu kidogo"
 
Back
Top Bottom