Kibo10
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 11,278
- 8,868
Mtoto katoka shule huku akilia, alipofika nyumbani, baba yake alishangazwa na hali hiyo na mazungumzo yanayalikuwa hivi:
BABA: Kwa nini unalia?
MTOTO: Mwalimu amenipiga, na nimeambiwa twende wote shuleni.
BABA & MTOTO wakaenda shuleni na kuingia ofisini.
MWALIMU: Karibuni, mtoto wako tumemuuliza swali, kuwa Nairobi iko wapi? Kashindwa
Ndiyo maana tumemchapa!
BABA: akamgeukia mtoto wake na kumchapa vibao! Akamwambia: Mjinga mkubwa, kilasiku nakukataza kuchezea viyu vya watu hukomi, haya NAIROBI ya mwalimu umeipeleka wapi?