Baba_Enock
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 7,076
- 2,465
Kwa wale waliokuwepo kwenye early 90's mtakubaliana na mimi kwa hiki kibao cha Dr. Dre kilikuwa moto wa kuotea mbali.
Hebu angalia video yake wakati tunajiandaa na Wikiendi ya "Mwisho Wa Mwezi":-
YouTube - Dr. Dre - Been There Done That
Hebu angalia video yake wakati tunajiandaa na Wikiendi ya "Mwisho Wa Mwezi":-
YouTube - Dr. Dre - Been There Done That