Naomba kujua wewe uliyeudhuria JF party za JF naya juzi pale Escape1 Ulitamani nani awepo? Nakatika Party kubwa ambayo haijawahi kufanyika Jf ambayo inatarajiwa kufanyika Serena Hotel au Hayat...
Kutokana na watu wengi kujisahau. Kesho ni ijumaa kuu hivyo wapenzi wa nyama hatutakiwa kula hii ni kwa wakristo.
Nimewakumbusha tu. Nawatakia ijumaa kuu njema
Jamani dada zetu kama unasura mbaya basi usijifunge ushungi. Sijui kama nimi pekeyangu hua naona dada zetu waliojifunga ushungi hunifanya ni-focus kwenye uso. Sasa tatizo unakuta uso mbaya. Labda...
Wana Cc hv nan amewah kucheza kombolea namaanisha hii ni zaid kwa wale 2liolelewa kiuswaz mana get kal humkuti na hii michezo,
upande wa kombolela nilikua napenda mchezo wa kubadilishana nguo...
Zawadi nono ya shilingi 10000/= itatolewa kwa yeyote atakaye shindinda nilikuwa nahitaji kupata signature nzuri kabisa kwenye profile .Je niandike kauli ipi ambayo itakuwa signature nzuri...
AINA 3 ZA VIJAMPO
1. TUUUF
Hii haina ya kijampo ambayo hulipuka mara moja kama risasi. Mnuko wake huwa sio mkali sana.
2. BBRRIIII!
Aina hii hutoa sauti ya juu ingawa harufu yake huwa sio kali...
Habarini marafiki NILIWAMISO SANA TENA SANA
Leo ndo nshaingiza timu na jezi nambari 9 mgongoni wewe uliyejifanya MKUU WA MKOA nakupa wasio wako kama kuumeza meza kama kuuacha uache, WARNING...
Happy birthday to Inkoskaz, Maria Roza and others born on this lovely date..16th April..The Aries!!
May God grant us more joyful years with health and happiness!!
kichwa cha habari chajieleza ,
salamu itanichelewesha,ni hivi, nipo frii napokea booking kwa aliyetayari kuenjoy name pasaka tyme, ntatoka kwangu ijumaa jioni na kurudi jtatu jioni, mlango uko wazi
Niko kwenye daladala nimekaa
na mdada fulani mkali vibaya
mno kavaa kiblauz kinaonesha
chuchu zake me nimebaki hoi
nkimwangalia mara
akaniambia "kaka samahani
unaweza ukanisaidia kutoa
kitu...
Binti wa kindengeleko alizaa na Mchina, baada ya miezi minne yule mtoto alifariki, siku ya mazishi bibi wa yule mtoto alikuwa analia sana huku akirudia neno nilijua tu, nilijua tu, nilijua tu...