mbeya yetu
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 487
- 102
habari wana cc,,,,,nawaulizia rafiki zangu wapendwa Washawasha Nyaningabu atakae waona asisite kuni julisha,
Last edited by a moderator:
Kaka mbeya yetu,tupo ila kuwa mkubwa ni balaa bora ningeendelea kuwa mtoto.habari wana cc,,,,,nawaulizia rafiki zangu wapendwa Washawasha Nyaningabu atakae waona asisite kuni julisha,
Dada farkhina,ujue yule shemeji yako ndiye aliyekuwa ananiweka mjini basi toka Operesheni Kimbunga i take place,mpaka leo hela ya kununua vocha na kuingia JF inanishinda mimi nimekuwa mzee wa kubip tu.Washawasha hata mie nimmemiss ata sijui kapotelea wapi kwa kweli
Nyani Ngabu tangu alivotuaga kule jikoni kuwa anaenda market hadi leo hajarudi
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums