Sura mbaya usijifunge ushungi

Sura mbaya usijifunge ushungi

CattleRustler

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2013
Posts
1,055
Reaction score
468
Jamani dada zetu kama unasura mbaya basi usijifunge ushungi. Sijui kama nimi pekeyangu hua naona dada zetu waliojifunga ushungi hunifanya ni-focus kwenye uso. Sasa tatizo unakuta uso mbaya. Labda bila ushungi maungo mengine yange balance. Wazo tu.
 
picha tafadhali
 
Nilimuonea huruma nisingeweza kupiga picha hata kama ningetaka. Dada kana upo humu jamii forum nimekupa ushauri tu.
 
Jamani dada zetu kama unasura mbaya basi usijifunge ushungi. Sijui kama nimi pekeyangu hua naona dada zetu waliojifunga ushungi hunifanya ni-focus kwenye uso. Sasa tatizo unakuta uso mbaya. Labda bila ushungi maungo mengine yange balance. Wazo tu.

kwanza unatakiwa ujue maana ya shungi.mwanamke wa kiislam yeyote anatakiwa kujsitri mwili wake.kwahyo ukiona kavaa shungi ujue huyo kavaa nguo alioitaka mungu.ila wapo wanaovaa shungi kama fashion unakuta chini mini juu shungi.hawa wanajilaani bila wao kujua.
 
Sina tatizo na kujisitiri kama dini inavyotaka. Tatizo kama unasura baya basi usiache uso piga kabisa ya kininja
 
Picha hii apa
editoon.jpg
 
Me nijuavyo hakuna binadam mbaya kwa Mola wote ni sawa na unaposema mbaya unakosoa uumbaji wake Allah sitaki kuingia ndani sana ila ushungi haukuekwa kwa baadhi ya watu unaowaona wazuri tu ila ni kwa kila mtu..hata hivyo huyo mbaya anaweza kuwa ni mbora mbele ya Mungu kimatendo na iman kuliko wengine kwani Mungu haangalii sura wala maali anaangalia nafsi ya mja na matendo yake.... nimesema hayo kwa nia njema tu
 
Well said. Keki ushamaliza?
 
Back
Top Bottom