Jinsia Mpya

Jinsia Mpya

Makamee

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2013
Posts
2,029
Reaction score
1,201
Endapo wanaume wakapewa jinsia ya kike na wanawake wakapewa jinsia ya kiume kwa muda wa wiki 1 tu unahisi nini kitatokea.
 
Endapo wanaume wakapewa jinsia ya kike na wanawake wakapewa jinsia ya kiume kwa muda wa wiki 1 tu unahisi nini kitatokea.

Mimi nadhani wiki mzima watu watakua ktk majaribio zinafanyaje kazi.
 
mwanaume atakuwa mwanamke, na

mwanamke atakuwa mwanaume.

matatizo yatakuwepo mengi sana kama..

1. mwanamke wa kiume atashindwa kutongoza kwa sababu nyingi ikiwemo sauti na aibu!

2. mwanaume hatokuwa na mat1ako ya kutingisha kumpendeza mwanamke!

3. maneenah, mwanamke ataweza kumkatia mauno mwanaume kweli kwenye kifo cha mende?
 
Makamee alafu ulalamike kuwa thread zako watu hawachangii,kiasi unajihisi wewe ni mbulula!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom