WARAKA: Kile usichopenda kufanyiwa usimfanyie mwenzio

ladyfurahia

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Posts
14,758
Reaction score
9,592
Habarini marafiki NILIWAMISO SANA TENA SANA

Leo ndo nshaingiza timu na jezi nambari 9 mgongoni wewe uliyejifanya MKUU WA MKOA nakupa wasio wako kama kuumeza meza kama kuuacha uache, WARNING: KILE AMBACHO HUPENDI KUFANYIWA USIPENDE KUFANYIA MWENZIO yaani unayejifanya mbabe mjengoni hapa na kuwachomeka wenzio kikaangoni, unafikiri wanapenda kule la umeniboa sana unafikiri tuko UNYAMWEZINI hapa, unafikiri kule selo nilikokuwa walinifunza nini? zaidi ya mateso na
KUWAMISO MARAFIKI ZANGU MABESTITO WA UKWELI HAPA ELEWA KUWA NIMEKUSAMEHE BURE 7X70 lakini nitakuonesha kuwa mm ni KAMANDA / MWALIMU WA WANAWAKE yaani ulidhani mm ndo mtu wa kucalling tu fyuuuu, na sasa utaona aliyemtoa kanga manyoya ndipo utatambua kuwa mm ni mkoa au ni mfurahishaji mjengoni hapa, umeniondolea stimu ya kuwapa somo marafiki zangu eti kisa UKUU WA MKOA WAKO ulionao
sasa hicho cheo nasababisha kukitoa utaona kama mm ni mfurahishaji au ni MTATA nisiye na kikomo ,

Nimepewa uu.jpg kwa ajili ya kuwafunda na kuongea na marafiki zangu wangu hapa na wala sina
ugomvi na mtu hapa hivyo tambua kuwa aluta kontinua (na jiangalie unajifanya king mswati na kuleta ubazazi wako hapa) sasa mwalimu wa waalimu, na mwalimu anayeshobokea mambo ya kike ndo nshatinga, nimetoka bungeni kuja hapa kutoa somo maalum kwa marafiki zangu hapa.

Mtu mwenyewe watokea NCHI ndogo sana halafu wajifanya wewe mbabe kisa ndo nini? Marafiki SAMAHANI SANA kama nimewaboa kwa thread hii NIMEUZIWA SANA na huyu kinala wenu anayeijiita mkalimani wa lugha za kimkoa mtu mwenyewe upcountry unajishaua utadhani umetunukiwa ubregadia wa jeshi kuu binamu Passion Lady nimekoseani huyu mtu ACHA NIMSAMEHE BURE MAANA HUJUI ULITENDALO. na Mungu wa mbinguni akusamehe bure.

Marafiki samahani kama nimewaboa

NGOJA NIJE NA SOMO LANGU LA LEO

VIJANA WENZANGU HII NI MUHIMU SANA:-

Kama una mtu Maishani mwako leo ambae ANAKUELEWA, ni MVUMILIVU nawewe, Anaekupenda bila unafiki, Anae kujali sana, Anaekuheshimu, Anae jivunia wewe na Anaeogopa kukupoteza, Na asiyeweza kumaliza siku yake bila kukupigia au kukuText, Ambae mara nyingi huwa anatafuta wakati wa kuwa na wewe walau hata Mpige story na mara nyingi huwa unamkwepa kwasababu zisizo za Msingi.

PLEASEE Nakusihi anza kumpenda mtu huyu, Kwasababu watu kama yeye ni ngumu sana kupatikana kwa kizazi hiki cha leo. Usimchukulie poa kwa kukupenda kwake, kukuthamini na kukujali ukadhani Kashoboka sana kwako .Ngoja nikwambie kitu kimoja Muhimu sana Maishani my friend. MUNGU huwa anatuletea watu wanaotufaa lakini sisi ndio huwa tunawatupilia mbali kwasababu ya tamaa zetu za macho tunasahau sio kila king'aacho ni Almasi na Baadae tunaishia kutaabika na Mahangaiko kibao. Nakusihi kama umemkosea mtu huyu,

Please mtafute na Muombe msamaha then anza kumpenda na kumuheshimu before it's too late.
I think mmeshanisoma hapa nilivyowagusia kitu hichi cha kuwa UNAJALI PALE AMBAPO UNAJALIWA/ PENDA PALE ANAPOPENDWA MARAFIKI NAWATAKI KHERI KATIKA MAISHA YENU.

CC: Mtambuzi, charminglady, Lady doctor, Excel, Viol, Bujibuji, Kipaji Halisi, nitonye, snowhite, Kongosho, Tized, Erickb52, Heaven on Earth etc karibuni mnitie moyo na kunifariji kwa haya yaliyonisibu mabestito.

Wasalaamu

Ladyf
 
Last edited by a moderator:
unapokubali changamoto kutoka kwa watu wanaoenda kinyume na mawazo yako,

hiyo ndio ishara ya msomi aliyeelimika, na mtu anaeikubali demokrasia katika mahali anapoishi.

agreeing to disagree is the sign of wisdom.... ..
 
ujumbe mzuri sana haswa kwa watu wanaoelewa nini maana ya loving back,

umuhimu wa mtu huonekani pale tu anapokuwa hayupo usoni mwako,

I love love.. i hope you do too!
 
What goes around must come around
Habarini marafiki NILIWAMISO SANA TENA SANA

Leo ndo nshaingiza timu na jezi nambari 9 mgongoni wewe uliyejifanya MKUU WA MKOA nakupa wasio wako kama kuumeza meza kama kuuacha uache, WARNING: KILE AMBACHO HUPENDI KUFANYIWA USIPENDE KUFANYIA MWENZIO yaani unayejifanya mbabe mjengoni hapa na kuwachomeka wenzio kikaangoni, unafikiri wanapenda kule la umeniboa sana unafikiri tuko UNYAMWEZINI hapa, unafikiri kule selo nilikokuwa walinifunza nini? zaidi ya mateso na
KUWAMISO MARAFIKI ZANGU MABESTITO WA UKWELI HAPA ELEWA KUWA NIMEKUSAMEHE BURE 7X70 lakini nitakuonesha kuwa mm ni KAMANDA / MWALIMU WA WANAWAKE yaani ulidhani mm ndo mtu wa kucalling tu fyuuuu, na sasa utaona aliyemtoa kanga manyoya ndipo utatambua kuwa mm ni mkoa au ni mfurahishaji mjengoni hapa, umeniondolea stimu ya kuwapa somo marafiki zangu eti kisa UKUU WA MKOA WAKO ulionao
sasa hicho cheo nasababisha kukitoa utaona kama mm ni mfurahishaji au ni MTATA nisiye na kikomo ,

Nimepewa View attachment 150625 kwa ajili ya kuwafunda na kuongea na marafiki zangu wangu hapa na wala sina
ugomvi na mtu hapa hivyo tambua kuwa aluta kontinua (na jiangalie unajifanya king mswati na kuleta ubazazi wako hapa) sasa mwalimu wa waalimu, na mwalimu anayeshobokea mambo ya kike ndo nshatinga, nimetoka bungeni kuja hapa kutoa somo maalum kwa marafiki zangu hapa.

Mtu mwenyewe watokea NCHI ndogo sana halafu wajifanya wewe mbabe kisa ndo nini? Marafiki SAMAHANI SANA kama nimewaboa kwa thread hii NIMEUZIWA SANA na huyu kinala wenu anayeijiita mkalimani wa lugha za kimkoa mtu mwenyewe upcountry unajishaua utadhani umetunukiwa ubregadia wa jeshi kuu binamu Passion Lady nimekoseani huyu mtu ACHA NIMSAMEHE BURE MAANA HUJUI ULITENDALO. na Mungu wa mbinguni akusamehe bure.

Marafiki samahani kama nimewaboa

NGOJA NIJE NA SOMO LANGU LA LEO

VIJANA WENZANGU HII NI MUHIMU SANA:-

Kama una mtu Maishani mwako leo ambae ANAKUELEWA, ni MVUMILIVU nawewe, Anaekupenda bila unafiki, Anae kujali sana, Anaekuheshimu, Anae jivunia wewe na Anaeogopa kukupoteza, Na asiyeweza kumaliza siku yake bila kukupigia au kukuText, Ambae mara nyingi huwa anatafuta wakati wa kuwa na wewe walau hata Mpige story na mara nyingi huwa unamkwepa kwasababu zisizo za Msingi.

PLEASEE Nakusihi anza kumpenda mtu huyu, Kwasababu watu kama yeye ni ngumu sana kupatikana kwa kizazi hiki cha leo. Usimchukulie poa kwa kukupenda kwake, kukuthamini na kukujali ukadhani Kashoboka sana kwako .Ngoja nikwambie kitu kimoja Muhimu sana Maishani my friend. MUNGU huwa anatuletea watu wanaotufaa lakini sisi ndio huwa tunawatupilia mbali kwasababu ya tamaa zetu za macho tunasahau sio kila king'aacho ni Almasi na Baadae tunaishia kutaabika na Mahangaiko kibao. Nakusihi kama umemkosea mtu huyu,

Please mtafute na Muombe msamaha then anza kumpenda na kumuheshimu before it's too late.
I think mmeshanisoma hapa nilivyowagusia kitu hichi cha kuwa UNAJALI PALE AMBAPO UNAJALIWA/ PENDA PALE ANAPOPENDWA MARAFIKI NAWATAKI KHERI KATIKA MAISHA YENU.

CC: Mtambuzi, charminglady, Lady doctor, Excel, Viol, Bujibuji, Kipaji Halisi, nitonye, snowhite, Kongosho, Tized, Erickb52, Heaven on Earth etc karibuni mnitie moyo na kunifariji kwa haya yaliyonisibu mabestito.

Wasalaamu

Ladyf
 
thanks my love 4 incarriage
unapokubali changamoto kutoka kwa watu wanaoenda kinyume na mawazo yako,

hiyo ndio ishara ya msomi aliyeelimika, na mtu anaeikubali demokrasia katika mahali anapoishi.

agreeing to disagree is the sign of wisdom.... ..
 
haya ni maisha tu...japo wengine tunajiona tuko juu ya wenzetu kuliko...haifai ...
kikubwa ni kuheshimiana sio vinginevyo....!
 
ladyfurahia umeongea kama mbuge wa jamhuri flani kubwa sana hapa duniani kwenye huo muandiko wa zambarau, nimekupenda kwakweli
 
Last edited by a moderator:
asante sana bestito ipo siku nitakuwa MBUNGE wa jimbo fulani endelea kuniombea kwani natamani sana kuwa MBUNGE nadhani umenisoma hapo

ladyfurahia umeongea kama mbuge wa jamhuri flani kubwa sana hapa duniani kwenye huo muandiko wa zambarau, nimekupenda kwakweli
 
mamii sina kinyongo kabisa nimeshamsamehe ila watu wengine wanapenda kuwakwaza wenzao bila msingi wowote ule halafu wanaona sifa sana ila nashukuru kwa maneno yako pengine yamenifungua kiasi fulani
Daaah ila kwa umri wako haupaswi kuwa na vinyongo.
 
kweli bestito heshima ni kitu cha bure kabisa

Back
Top Bottom