SAYANSIKIMU
JF-Expert Member
- Feb 27, 2014
- 1,132
- 260
Zawadi nono ya shilingi 10000/= itatolewa kwa yeyote atakaye shindinda nilikuwa nahitaji kupata signature nzuri kabisa kwenye profile .Je niandike kauli ipi ambayo itakuwa signature nzuri kabisa.Tupieni signature hizo hapa nitakayo ipenda kuliko zote huyo aliyo itoa hiyo signature na mzawadia shilingi 10000 za kitanzania.