Fanya Utafiti Kama Hukubaliani na MIMI

Fanya Utafiti Kama Hukubaliani na MIMI

chardams

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2012
Posts
2,450
Reaction score
1,753
AINA 3 ZA VIJAMPO

1. TUUUF
Hii haina ya kijampo ambayo hulipuka mara moja kama risasi. Mnuko wake huwa sio mkali sana.

2. BBRRIIII!
Aina hii hutoa sauti ya juu ingawa harufu yake huwa sio kali sana. Aghalabu mjampaji hujampa aina hii akiwa mahali pa kelele ama peke yake ili asisikike.

3. PSSSSSSS! / PHUUUUUUU!
Aina hii hujulikana kama 'SILENCER'. Mjampo wa aina hii hunika kimataifa tena kwa kiwango cha rami na harufu yake huweza kuua hata panya; aina hii ya mjampo hutumiwa katika milkutano, daladala, mabassi, Train, madarasani, kwenye ndege na hata bungeni.
Mara nyingi mjampaji huwa anaweka sura ya kazi huku akijifanya hajui kinachoendelea!!

Naomba kuwasiliana
 
hivi umewaza nini hasa kutaka kuvuruga hali ya hewa....?
 
hivi umewaza nini hasa kutaka kuvuruga hali ya hewa....?

Kabanga hawa wanao produce No. 3 wanakera sana. Lengo langu ni kuujulisha umma wawezi kuwatambua wahusika endapo No. 3 itawakuta najua hata wewe imeisha kukuta alafu hukujua producer ni nani; uwongo????
 
[QUOT E=repro;9263244] hahaha namba 3 ndio kile cha yusufuuuuuuuu!!! [/QUOTE]

Repro naona umewahi ku experience hi No. 3
 
[QUOT E=repro;9263244] hahaha namba 3 ndio kile cha yusufuuuuuuuu!!!

Repro naona umewahi ku experience hi No. 3[/QUOTE]

kama hujambi sijui hujampi ww sio kiumbe hai,maana hata wanyama hupumua
 
Kabanga hawa wanao produce No. 3 wanakera sana. Lengo langu ni kuujulisha umma wawezi kuwatambua wahusika endapo No. 3 itawakuta najua hata wewe imeisha kukuta alafu hukujua producer ni nani; uwongo????

nimekuelewa....kisha Ndio wanaulizia mbona hali oko hivi....
 
No. 1&2 hatukatai, ila namba 3 hapana
 
Hivi utamgunduaje aliyepiga silencer katikati ya watu
 
utamgundua tu kwaini uso wake umekaza mpaka yeye anajiona amefanya kitu mbaya

angalia style hii hapa chini

kukumbwa.jpg
Hivi utamgunduaje aliyepiga silencer katikati ya watu
 
Hivi utamgunduaje aliyepiga silencer katikati ya watu

Huyu unaweza kumjua kwa njia ifuatayo
1. anakua Wa kwanza kuwa amesikia harufu
2. Ana tabia ya kuwasingizia wenzake kwamba wamejamba lakini ukimtaja yeye hua mkali sana
3. Anakua anakumbusha kuhusu kesi ya kujamba hata Kama hamjadili tena kuhusu kujamba
4. Watu Wengi wenye tabia hii wanakua wana maneno mengi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom