Malizia na neno "nilifarijika sana"

Malizia na neno "nilifarijika sana"

muuza ugoro

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2012
Posts
334
Reaction score
61
Wadau,
Hebu tupeane michapo ambayo inamaliza kwa neno 'Nilifarijika sana'

Mfano mimi niliposikia boda boda zimeondolewa kodi nilifarijika sana
 
Wadau, Hebu tupeane michapo ambayo inamaliza kwa neno 'Nilifarijika sana' Mfano mimi niliposikia boda boda zimeondolewa kodi nilifarijika sana
nilishangaa WaTanganyika baada ya kupewa mkwala kwamba muungano ni serkali.2 kwa katiba mpya ima ya zamani! Sasa nimefarijika kuona wametoka bungeni!
 
baada ya dakika 25 za kuhangaika na mikao ya ajabu ajabu, likatoka. nilifarijika sana
 
Madaraja yanayovunjika Dar kwa ajili ya mvua nimefarijika sanaa
 
Nilipoona ukawa wamelamba laki 3 na kutoka bungeni
 
Nilifarijika sana Mh. Raisi aliposema kuwa Wanafunzi wa kike wanaopata Mimba wakiwa Shuleni ni kwa sababu ya viherehere vyao sababu aliwapa go ahead Mafataki wa ukweli wawafwatue ipasavyo.
 
Nimefarijika sasa ni bayana katiba inayotungwa ni ya sisiem
 
Nilifarijika Sana Mh. Rais aliposema kuwa ukitaka kula lazima na wewe uliwe japokuwa hakumalizia pale ambapo Mwanaume ukitaka kula utaliwa nini.
 
Back
Top Bottom