Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,335
Kutokana na watu wengi kujisahau. Kesho ni ijumaa kuu hivyo wapenzi wa nyama hatutakiwa kula hii ni kwa wakristo.
Nimewakumbusha tu. Nawatakia ijumaa kuu njema
Nimewakumbusha tu. Nawatakia ijumaa kuu njema