umeme ukikatika wakati unanyorewa

Bzimana

JF-Expert Member
Mar 18, 2013
551
156
wale wapenzi wa kunyolewa, upo chumba maalumu cha kunyolewa nywele lakini kwa bahati mbaya umeme ukakatika kinyozi akiwa katikati ya kichwa, huwa mnafanyeje.? unaondoka hivyohivyo.? au unasubiri hadi Tanesco waludishe umeme wao?
 
Hautaathiri chochote kama nanyorewa ila ningekuwa nanyolewa labda....
 
wale wapenzi wa kunyolewa, upo chumba maalumu cha kunyolewa nywele lakini kwa bahati mbaya umeme ukakatika kinyozi akiwa katikati ya kichwa, huwa mnafanyeje.? unaondoka hivyohivyo.? au unasubiri hadi Tanesco waludishe umeme wao?

unanyorewa wapi?
 
Ivi ni kwa nini kuna watu wengi wanachanganya r na l siku hizi..?
 
Me ishawahi kuntokea , ulipokatika tu nami nkaanza kukatika ivo ikawa ngoma droo
 
Back
Top Bottom