Wana JF mizigo.

Wana JF mizigo.

Consigliere

Platinum Member
Joined
Sep 9, 2010
Posts
12,695
Reaction score
26,593
Katika kuuanza mwaka huu ni vizuri na sisi tukaitaja mizigo inayotuelemea hapa jukwaani ili tuitambue na ikibidi mizigo hiyo iwajibike.
Mizigo hiyo ni miongoni mwetu wana JF.
Mimi nitautaja mzigo mmoja ambao ni mimi mwenyewe ambaye kwa muda mrefu sijachangia JF fainesnshale pamoja na huduma nzuri nizipatazo humu badala yake huwa wa kwanza kulalamika hata server ikiwa down au mods wakiwa kwenye mgomo kwa sababu ya kutolipwa kwa muda mrefu.
 
Judgement una sababu yoyote unayokufanya uwa brand kuwa ni mizigo?
 
Last edited by a moderator:
Mie mwenyewe mzigo namba 5,ngoja nianze kufungasha virago...
 
Back
Top Bottom