JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
T---CCM, T---CDM, T---CCK, T---CCJ na T---CUF:flypig:
0 Reactions
12 Replies
2K Views
hum ndan kilam2 mkuu hvyo wakuu naiman mnakumbuka kuhusu topic ya(mama mkwe anamwezi hana dalili ya kuondoka) juz tulipanga safari kua anaondoka jpil. sababu mume wa mdogo angu anarudi leo safari...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
yaani ukishavunja buku kumi basi hela yote inaishaaa haikai ...... hatari
0 Reactions
7 Replies
2K Views
jamaa, alifumaniwa na mke wa mganga. Nyeti zake zikachukuliwa. Ilibidi kesho aende kuomba radhi. Mganga akamletea ungo uliojaa viungo nyeti vya kiume. Jamaa akashindwa kuitambua yake. Ilibidi...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
0 Reactions
0 Replies
919 Views
Kama kichwa kinavyojieleza,nimepitia misukosuko mbalimbali ya mapenzi so am very experienced.Yoyote mwenye swali kuhusu mapenzi or anayetaka kujua kitu chochote kutoka kwangu nje ya mapenzi...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
#1 Ukijiona umefanya kazi katika kampuni moja kwa muda wa miaka 10 halafu haujawahi kuongezewa mshahara. #2 Unapofeli masomo ya Kingereza, Kiswahili na Hesabu kwa pamoja katika mtihani...
0 Reactions
42 Replies
6K Views
Hello wadau, nahitaji kijana wa kunifanyia Massage nyumbani kwangu, umri kuanzia miaka 21 hadi 24. Malipo kwa siku ni Tsh 20,000/=, na utakuja siku ya Jumatatu, Jumatano na Ijumaa. Mara 3 katika...
9 Reactions
318 Replies
30K Views
..uko wapi..Ray C
1 Reactions
23 Replies
2K Views
ustadhi mmoja kutoka kikundi cha uhamsho alienda kuhubiri msikiti wa masasi.alikalibishwa majira ya saa 2 asubui,anga anza kufundisha mpaka saa 6 mchana,9 alasiri na ilipo fika majira ya saa kumi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ujinga ni kulaza gari ya >millioni 80 nje, au ccm hafu Mke analala ndani.. Ongeza yako hapa ya kimatani zaidi.....
0 Reactions
11 Replies
6K Views
Nawapenda wote hasa hasa mlachake
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ndugu, zangu wapendwa nimeoteshwa jukwaa hili la joke limefungwa. Na kwa uzoefu wangu kila ndoto ninayoota huwa inatokea kweliiiii!!!! :frusty: :playball:
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Jamani.mi mgeni humu ndani
1 Reactions
53 Replies
3K Views
Umebakiwa na nafasi moja ya kujaza, mapambano yanaendelea. Wanaume wawili wanajitokeza ili waende mstari wa mbele. Wanaume hao ni Chris Lukosi na W. J. Malecela Tukumbuke wote hawa wamepitia...
0 Reactions
7 Replies
988 Views
siku moja kuna jamaa kaenda kwa jirani yake sasa alikuwa na kiu sana kufika kwajirani yake akamkuta mtoto akamwomba maji ya kunywa akaambiwa hayapo ila kuna maziwa basi jamaa akasema nipe hayo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Majamaa wa3 walishindana kula ugali na mboga ya maajabu wa 1 alilukula sinia la ugali na maji lita 16 kama mboga wa 2 alikula cnia la ugali na chumvi pkt 10 kama mboga wa 3 ye akaamua kuagiza...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
nimelala mapema leo usingizi umekatika pap..!
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Nauliza hivi sababu hapa mie najiona kama nilivyozaliwa, halafu baada ya mihangaiko yamaisha hujisikia kuwa free kama nilivyozaliwa na pia nashangaa naingia kitandani nakuta mwenza wangu naye kama...
1 Reactions
64 Replies
7K Views
Close
0 Reactions
2 Replies
842 Views
Back
Top Bottom